CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA
Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!
Update: Da' FR kajifungua leo mtoto wa kike... Hongera sana dada na Mwenyezi Mungu akulinde wewe pamoja na mtoto
Ewe mwana CC ungana nami kumpongeza Da'FR.....