Mh. Huyu muoaji naona anavuta naniliu ndo maana hizo rangi zinamvutiaMimi napenda...
Au avae rasta colour...lol!
Mh. Huyu muoaji naona anavuta naniliu ndo maana hizo rangi zinamvutia
Una wazimu si bure
mhhh!!! haya basi ntakuwa navaa nyeusi, kijan, njano, zambarau. Il ufurah
huwa sipendi kinoma kukuta mwanamke kavaa Tait Au Chupi Nyekundu Na Nashangaa Ni Kwa Nini Wao Huvaa
mhhh!!! haya basi ntakuwa navaa nyeusi, kijan, njano, zambarau. Il ufurah
mkuu naona umesahau kumalizia,..
Sijui ulikuwa unamaanisha nini,..