Mimi Sio Victoria,...

Mimi Sio Victoria,...

Mwanamama kumbe na wewe ulikuwa gizani nilitaka nije pm unisadie kufasir
Yaani nilijaribu aya ya kwanza kuscroll nakuta gazeti la kingereza nikajisemea kimoyo moyo hee magufuli shikamoo baba nipo na wewe ktk kampeni ya kupenda vya nyumbani,
 
Nilitaka kuendelea nikajua ni vionjo ili story iwe nzur nashangaa kila paragraph ni hivyo nikajua hakuna vionjo huyu anamaanisha nika slide kwa speed ad comment.
 
Hahahahahaa pole mkuu mimi naipenda lugha mama, kiswahili
 
Mwanamama kumbe na wewe ulikuwa gizani nilitaka nije pm unisadie kufasir
Nilitaka kuendelea nikajua ni vionjo ili story iwe nzur nashangaa kila paragraph ni hivyo nikajua hakuna vionjo huyu anamaanisha nika slide kwa speed ad comment.
nachekaaa jamannnn............mna vituko sanaaa
 
Back
Top Bottom