Mimi Sio Victoria,...

Mimi Sio Victoria,...

Wakuu Nina uhakika kutokana na current insues zinazoendelea nchini kwetu mtoa mada kama hajazaungumzia issue ya Zamaradi basi n Zari , Mabetto na Diamond. M nahisi msipoteze mda we comment chochote kuhusu hao watu.
mkuu kwanza chukua like yangu hapo.

Nadhani mtoa maada kazungumzia ishu ya zari na dayamondi!
 
Dah!! sasa hapa ngoja niende kwa jirani kuchukua dictionary.

Maana hapa nimetoka mweupee!!
 
Thaw thee thisi ni nyingi mno nimetumia lisaa kusoma, cjaelewa, wakati mwingine weka na sub tittle
 
Back
Top Bottom