Mimi sio single mother

Mimi sio single mother

Hakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ni yale yale tu na wasiojua kingereza haswa madalali wanavyoita Rim sport badala ya sports rim, sport rims etc au vile wale mabinti mliokua mnajiita disminder girl wakati katika kiingereza hakuna kitu kama disminder...
 
Back
Top Bottom