Mimi sio single mother

Mimi sio single mother

Limezalishwa na kuachwa (kasoro waliofiwa)
 
Huo ni ubaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ubaguzi unaanzaje mechi mwenzako ana goli moja? Halafu jua kuwa kama ana mtt na jamaa yake yupo hai atakuwa analiwa tu mkuu mi bora niongee ukweli kama jamaa yake amekufa na nilikuwa namfahamu tu na nilihudhuria mazishi yake woooi naoa chap na mtt anakuwa wangu .ila kinachouma ni ile kupashiwa kiporo moto

Siafiki unachokisema single mama wangapi wameolewa na wametulia kwenye ndoa zao ukimkuta anayekumbushia na mwanaume alimtelekekeza huyo hajitambui nitabia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umeelewa
IMG_20180819_115308_187.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom