Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,618
Watanzania wenzako wanapata mateso kupita wale waliopata wakati wa ukoloni, tena wanateswa na watanzania wenzao. Mnachukua hela ya mzungu yenye masharti hayahaya mnayolialia nayo sasa hivi mkikumbushwa. Mmetawala toka uhuru mpaka leo na bado mnategemea misaada ya wazungu.Salamu wakuu.
Leo hii serikali yetu pendwa ya Tanzania ikikubali haya ya watu wa Ulaya basi tumekwisha.
Rais wa Wabunge Duniani yupa hapa kwetu iweje upangiwe mambo na wafanyakazi wako na ukubali kirahisi kwajili ya maslahi ya mtu mmoja ambaye anataka kulipoteza hili Taifa la Mungu.?
Sina uhakika lakini Kuna watu ambao hawapendi kuona hii inchi inafuraha Kwa Raia wake na ndio mana wanafurahia watu wa Ulaya kuipangia inch hii mambo yao.
Haikubaliki Nchi kuingiliwa uhuru wake na mipake yake asee wakuu.Kwanini mnataka kurudisha kule mlipotutoa kwenye mateso ya kikoloni?
Mimi sio Mwanasiasa lakini naona kabisa mpinzani hata kama hata shinda lakini atakuwa amefauru katika Makakati wake kabambe kabisa wa kuliaharibu hili Taifa.
Mtoto akikosea mpe onyo akirudia kosa Lile Lile basi mpe adhabu Kali ili wenzewi wasirudie kosa Lile Lile.
Naamini Kuna watanzania sio wa asili Sasa wanataka kutupeleka pabaya sababu wao hawana uchungu na hili Taifa.
Mimi sio Mwanasiasa na Udalali ndio Kazi yangu.