mimi simo

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,261
2,000
Palitokea mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi 3, China, Ujerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa ktk nchi zao. Mchina akaanza "kwetu alizaliwa mtoto hana mkono wa kushoto tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate".
Mjerumani: "hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olympic na ana medali 3 za dhahabu".
Mtanzania akacheka akasema "kwenu bado hamjafikia rekodi yetu, sisi hapo bagamoyo alizaliwa mtoto hana kichwa, tukamwekea nazi na sasa ni RAIS."
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom