Ndio mkuu usafiri wa uma unanipunguzia stress, unanirahisishia maisha kukwepa gharama zosizo za lazima, na pia naokoa mazingira si polute air.Kwaio hadi leo bado unapanda basi tu mkuu..mimi siangalii taarifa ya habari wala kusoma magaezti
Wengine wana magazine za play boy [emoji23]Maarifa yapo kwenye maandishi lakini si kila maandishi ni educative.
Choose wisely.
Hahaha ndio sijui napungukuwa nini maana najiona sawa, nasoma JF kupata taarifa. Sina mpango kugombea nafasi ya kisiasa sioni sababu kujua mambo ambayo siyo ya lazima kwangu. Kazi yangu naifanya kwa ustadi wa hali ya juu, sihitaji hata kuperuzi professional journal lakini eti najiona niko sawa tu, isn't a surprise to you?Huwezi kuwa sawa na anaesoma vitabu kila siku wakati wewe umesoma mara ya mwisho 2001. Hata kama maisha yanaenda poa ila usiseme eti mko sawa.
Kwangu mimi naamini siwezi kuwa well informed na kujua mambo kama sisomi vitabu, majarida n.k
Ukitaka hata kujenga hoja huwezi kwenda sawa na anaesoma maana mwenzio anajua mambo kibao ambayo wewe hujui hata kama yana exist
Maarifa hayana mwisho mkuu, sawa sio lazima kusoma na kusoma ni kipaji sio kila mmoja anaweza. Kuna wengine kama mimi ni kitu cha kawaida sana na nikikaa mda sijasoma najiona napungukiwa kitu. Pamoja na kuwa una profession yako hata ukisoma mambo mengine pia inakuongezeaa marifa nje ya prof yako.Hahaha ndio sijui napungukuwa nini maana najiona sawa, nasoma JF kupata taarifa. Sina mpango kugombea nafasi ya kisiasa sioni sababu kujua mambo ambayo siyo ya lazima kwangu. Kazi yangu nsifanya kwa ustadi wa hali ya juu, sihitaji hata kuperuzi professional journal lakini eti najiona niko sawa tu, isn't a surprise to you?
Hahaha bora haya na entertain brain yangu kwa mapichapicha.
Nayakubali sana tatizo ni jinsi ya kuyapataHahaha bora haya na entertain brain yangu kwa mapichapicha.
Hahaha bado nafikiria nikiyajua hayo mengine nje ya taaluma yangu nitayaapply wapi?! Kusoma bila purpose naona nikujitesa.Maarifa hayana mwisho mkuu, sawa sio lazima kusoma na kusoma ni kipaji sio kila mmoja anaweza. Kuna wengine kama mimi ni kitu cha kawaida sana na nikikaa mda sijasoma najiona napungukiwa kitu. Pamoja na kuwa una profession yako hata ukisoma mambo mengine pia inakuongezeaa marifa nje ya prof yako.
Kuna vijana wanayo town, kina dada wako na ebony na yale ya urembo. Ofisini kwetu kuna mtu ka subscribe The Economist hivyo unakuwa unachungulia chungulia unayaacha hapo, vibanda vya dalala kuna kiu,,uwazichampion, sportleo, majira, uhuru, tanzanite, mwananchi, mtanzania ....
Nitayatafuta maana hua nayaelewa sana.Kuna vijana wanayo town, kina dada wako na ebony na yale ya urembo. Ofisini kwetu kuna mtu ka subscribe The Economist hivyo unakuwa unachungulia chungulia unayaacha hapo, vibanda vya dalala kuna kiu,,uwazichampion, sportleo, majira, uhuru, tanzanite, mwananchi, mtanzania ....
Yeee Nanye go.
mkuu punguza kasi aisee utamfanya apate mfadhaiko wa moyoKwaio hadi leo bado unapanda basi tu mkuu..mimi siangalii taarifa ya habari wala kusoma magaezti
Yote hayo yapo, kunajamaa anauza vitabu pale mkwepu anayo yote. Yani yale mapichapicha hadi beyond playboy anayo. Lakini anayaficha chini ya meza, wateja wake anawafahamu.