Mimi sijasema

Bibi yangu alikuwa anauliza Nyerere wa sasa ni nani?
 
Bibi yangu alikuwa anauliza Nyerere wa sasa ni nani?
Uchaguzi mkuu kabibi kaliniuliza nikaelekeze jinsi ya kupiga kura, ila akasema anataka nyerere, ni kamwambia alishakufa, akasema wa chama cha nyerere, nikamuonesha lowasa akasema kweli anafanana na baba yake, akampigia lowasa akasepa, nilicheka moyoni.
 
Wewe kura ya uncle uliipaisha kwa Ngoyai. Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…