kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Yaani ukiwasikiliza hawa watoto wa Yamoto band jinsi wanavyolalamika inaonyesha kuna wimbi kubwa la wanawake kuwinda na kuwabana wavulana wadogo serengeti boys kwa ngono!
Dogo analalamika: mimi si size yako, itakupwerepweta bure, tafuta type yako, hebu niache, unataka kuniua kwa ukimwi, ananitegemea mama nikifa kwa ukimwi atalia sana, ...
Duh! Inatisha, dunia imekwisha!
Inatajwa kuwa kuna bidada mmoja mwenye pepo la .n.g.o.. ambaye ni star alishaanza kunyemelea watoto hao. Wakaamua kumlipua kwa verses hizo
una rambooooo... mi nna muwa ni ujjinga ujjinga tu weh mi utaniua...
safi sana
si walisema wabemendwe wapelembwe leo tena litawapwelepweta mmh
Huu wimbo naupenda sana aisee.
Jamani wolper hana pepo wa ngono nataka kujipitisha ili anichunuku
Ilikuwa size yao, wa sasa inapwerepweta nadhani ni bwanga na bwawa la mtera!
ndo wajifunze kuogelea na kupiga mbizi
cc: shishi baby....
Tatizo mamba!
hebu mkaushie huyu demu yatakushinda haya
hebu mkaushie huyu demu yatakushinda haya