Sijambo rafiki mwema. Umepotelea wapi? Kijana wetu anaendeleaje, bado ananyonya au ushamuachisha?
Hahahaha Kijana una nidhamu sana... Nawe nakukabizi charminglady bila mahari mkavunje jungu.Toka na Kongosho...........shetani mbaya kiatu chake dawa..........na zimwi likujualo halikuli likakwisha
heheheiya nakujaje thatha hubby! uwiiiii nita-enjoyje sasa?? kwanza nani kakuudhi?? tema nimchape! kama ni mwana dada adhabu yake atuangalie wakti tunakaguana! kama ni mkaka nipe nimshughulikie! lol mwahhhhh hubby!
Remmy wallah umebadilisha avatar nikabaki najiuliza maswali kuliko majibu! kwanza nitumie number yako ya m-pesa nikutumie madoller! lol!Cacico analipa, cheki upajaa...
Huyu atakupunguzia sana hasira.
Badili tabia mawenge mengi atakuongeza stress buree.
Swadakta.......santeee. LOOOOOOOOOOOOOH nimekumbuka niko kwenye ingejimenti na ummu kulthum huajtuona tu