Mimi nitaoa 2021

Mimi nitaoa 2021

Kila lakher kaka mkubwa upate shemeji mtakaendana.
 
mkuu huko kitaani kwenu hakuna wanawake mpk unakuja humu ndani, yani unataka wanawake wa JF au inakuwaje mkuu, any way nisikukatishe tamaa subiri unaweza kubaatisha kila la kheri
 
Waliokuwa JF wanatokea wapi mkuu? ni hao hao wa mtaani ila tunakuta kwa njia tofauti tu!! unajua kuwa changudoa wa sinza ndiyo unaye mtongozaga kimara bila kujua kama ni changudoa na anakukataa vile vile............FIKIRIA KIDOGO
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu ila nimecheka sana eniwei nakutakia mafanikio kwenye kupata mwenza
 
ha hahaaaa, umefikiria kidogo ndiyo maana ukachekaaa 😀😀😀😀😀
 
Samahani kwa kuleta siasa hapa, lakini ndiko tulikofikia now

Kwani wewe ni ccm?

Mimi huwa sitoa mchango wangu pande hizo.
 
Back
Top Bottom