Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Unatongozwa wapi huko?Mbona natongozwa sana na wanaume!kila ninapoenda lazima nivutie midume!aagh niachen jamani mm mwanaume mwenzenu!
Unatongozwa wapi huko?Mbona natongozwa sana na wanaume!kila ninapoenda lazima nivutie midume!aagh niachen jamani mm mwanaume mwenzenu!
Ahaaaa :A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:Khaa!
We haujui tu!
Ukiona ivo ujue wewe mzuri!
Haya mimi ke na natongozwa sana na ke wenzangu! Naomba uniPM tuwe pamoja bathiii!
Nita kutumia blutusi ili unielekeze inawezekanaje ke na ke!
Ahaaaa :A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
Mi nilikuwa najua we kidume cha mbegu!!Wacheka nini shosti?
Nimechoka kutamaniwa na ke wenzangu!
Leo naona dua zangu zinatimia! BONGE LA BWANA, najichukulia kiulainiiiii!
Shoga unalo?!!
Mi nilikuwa najua we kidume cha mbegu!!
Ha ha ha laiti ungelijua simtaki hata kwa bure...Wewe mbona unanitia mashaka :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:...lllllloh!
Kuharibiana ndio nini sasa? Shosti kama BONGE LA BWANA nawe walitaka useme tu! Tujue tupo wangapi!
Lol!
Watakanipokonya hivi hivi Omerayo wangu! Dah!
Ha ha ha laiti ungelijua simtaki hata kwa bure...Wewe mbona unanitia mashaka :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
Tunahama pamoja!!Hahahahaaa!
Usijali best!
Nilijaribu tu kuproof pumba za huyu Omereyo!
...
Mada za siku izi especial leo Hovyoooooooooo! Nadhani mwenyewe umeziona! Kuna watu walisema kipindi hiki ndio kutakua na utulivu (mada nzuri) coz itakuwa tumeshakwenda chuo! Kumbe!! Mnatuonea bureee!
Mi ndio nahama taratibu hivyo!
Tunahama pamoja!!