BSF fly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 344
- 126
Nyumba zinazo bomolewa ni zile zilizo jengwa meneo ya mabondeni na maeneo ya wazi...
Maswali yangi ni
1. Kwanini hawa wananchi hawakupigwa stop tangia wanaanza kujenga .
2. Kama walijenga maeneo yasiyo rasmi nani aliwapekekea huduma za maji na umeme?
3. Kuna wengine nasikia wana hati kabisa,nani alitoa hati za nyumba katika maeneo hayo?
4. Wanabomolewa sawa, wametafutiwa sehemu ya kwenda?