Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

Hii mada nyingine. Kuwa na wema na ubaya ni nature mfano ukimpiga mwenzako huo ni ubaya..ukimsaidia yatima au asiyejiweza ni ubinadamu au wema.
 
Na Mungu pia ni SCAM.

Huwezi kuamini Mungu, halafu usiamini Shetani.

Mungu na Shetani wote ni Fictional characters.

Mungu na Shetani wote ni SCAM.

They don't exist.

Hawapo.

Hakuna Mungu.

Hakuna Shetani.
Umeongeza mjadala tujikite kwa shetani
 
Hii mada nyingine. Kuwa na wema na ubaya ni nature mfano ukimpiga mwenzako huo ni ubaya..ukimsaidia yatima au asiyejiweza ni ubinadamu au wema.
ulijuaje ili ni ubaya ili ni wema??
 
Hii mada nyingine. Kuwa na wema na ubaya ni nature mfano ukimpiga mwenzako huo ni ubaya..ukimsaidia yatima au asiyejiweza ni ubinadamu au wema.
Hivi nature ni nini?
 
SHETANI NI LUGHA YA PICHA ILIYOTENGENEZWA KITAALAMU NA WAJANJA WA TOWN KUWAHADAA WALIMWENGU WAJINGA ILI WAWAIBIE VIZURI,,,,,GADDEMIT!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…