Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa.

Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
mbona kama ww ndo shetani mwenyewe au nimeangalia vibaya???


nb je wema na ubaya upo au haupo?

kama upo nani aliyekwambia huu ni wema na huu n ubaya

walitumia vigezo gani kusema huu n wema na huu n ubaya

na kwanini ubaya usipongezwe na wema ukaadhibiwa ( walitumia kigezo gani kutoa adhabu kwa ubaya na mabaya na wema wakaacha kutoa adhabu)

tafakari...."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…