MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,054
Sijawahi kuachwa,kwanza demu anaanzaje kuniacha!!
kwamba upoje had usiachwe
Sijawahi kuachwa,kwanza demu anaanzaje kuniacha!!
Hakuna cha kukumbushiana wala sina hamu kabisa hua namuona kama kaka yangu sina hisiaa
kuachwa*2 kuachwa ni shughuli ndefuu mbaya zaidi kwa yule uliyempenda yeye ananenepaa wewe unakondaa kwa mawazoo! Kuachwa ni maumivu jamani inafikia kipindi hata marafiki zako wa karibu unawaona wabaya aarghh
kwamba upoje had usiachwe
wa A-levo aliniacha kisa sikumpaga papuchi kila siku nilimwambia asubiri! akaamua kumchukua duu mwingne ambae alikua anajilengesha kwake naye akalenga kikwelikweli! aliefuata aliniacha baada ya mim kuchaguliwa chuo mbali nayeye! 1st yr nlipoenda kuripot chuon nyuma akavuta duu mwingne mchaga. huyo dada anamnyanyasa sana yani wote wana kazi bt kila kitu anahudumia yey mpaka anafkiaga hatua ya kukopa hela toka kwang wakat mkewe nae ana kazi! thnks God nlimaliza chuo salama nikapata kazi+ mchumba tajiri!
kwahyo ni bikra?! Usijali npo mm
niko poa sana kwa mabebz wangu,,najua kujali haswa nikipenda,,,mie demu wangu ni kama best yangu,ni km mtoto wangu navomdekeza na kumtunza...ndio maana demu anaweza jua nnamchiti na bd hawezi kuniacha kwa vile nnavyomtreat as a queen...Na niliowamwaga hadi leo nikitaka nakula japo wengine wameolewa..
wana - JF, ktk haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:
Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu nilisoma nae A- level, na kikubwa nilichomvutia ni upstairs, nilikuwa nakimbiza sana ktk combination yng ambayo na yeye, alikuwa anasoma! Tulikuwa boarding school, pamoja na mapenzi ya dhati ambayo nilipendwa na huyu kiumbe, F 5 na 6 sikuwahi kupewa papuchi.
Alikuwa na kauli yake "kuwa na subira J, katika siku ya ajabu, nitakupa vitu vya ajabu" Nilikuja kuachwa siku ya kwanza ya Orientation ya 1st yr kisa nilihoji kwa nini anaambatana na mkaka 1 na kila nikiwakuta wanaongea ki-external (kilugha) Niliambiwa mwanzo na mwisho wako leo kunifuatilia!
Huyu alikuwa wa kitaani Moro, nikiwa chuo DSM, alikuwa akija kuniletea papuchi! aalinipigia simu nirudi moro, kuna shida ya dharula, nikafikia hotel badala ya home. Alikuja kunipa penzi chupu chupu niwehuke! Kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 9, kila nikilala, naamshwa! mpk nikamuuliza ******** una nini leo? mbona si kawaida yako? Asubuhi akaniogesha kwa mara ya kwanza, tusharudisha chumba tunatembea, akanambia "leo home inasomwa barua yangu ya posa" nilikuwa natafuta namna ya kukuaga! Mimi hoi!
Mwenzangu mwana-JF, naomba kupata mbinu zilizotumika wakati unaachwa kwa namna 1 ama nyingine! Kama vp pita kimya kimya!
nimemuacha wala sitamuanika kwa heshima yako
Asante,huyo umemuepusha na kumwagiwa tindikali.Hakuna cha kukumbushiana wala sina hamu kabisa hua namuona kama kaka yangu sina hisiaa
si afadhali kulia,wanatumia bastola.Subiri yakukute we leta mbwembwe Tu, ndo nyie mnaoliaga ka' watoto mnapopigwa cha mbavu!
Kwani papuchi ndo kipimo cha mpz
Dalili ya msichana/mwanamke kutaka kurudi ni hizi:
1. Wifi hajambo?
2. Au anakutext sms za kukujulia hali mahali ambapo huwezi kutegemea
3. Zawadi ndogo ndogo
Ukimkaushia hakati mawasiliano na wewe kwa baadhi, mimi imenitokea mmoja, nikimkaushia lazima ashtue japo kwa sms au anakujia moja kwa moja kwako face by face, lengo ni kufufua hisia alaf anapotea mradi mawasiliano yawepo basi na yasife...yupo mmoja wa namna hii kwangu!