claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 316
- 480
kwa bahati mbaya sana project zangu huwa siziweki uko ila ninazo nyingi kwenye pc na nyingine ni za wa tu na nyingi ni system so siwezi kushare link hapaGit repo??
Nataka nikajifunze fransee,italiano, Germany unaweza saidia mimi?au ni lugha zipi unazosemea wewe??Git repo??
Unaweza kuunda SaaS?Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.
lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
🙊Nataka nikajifunze fransee,italiano, Germany unaweza saidia mimi?au ni lugha zipi unazosemea wewe??
Haya , anza kujifunza teknologia za kisasa kama Dart, React, Angular, nodejs, no sql databases, cloud services kama firebase, AWS. EtcWakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.
lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Tuonyeshe mobile app yako uliyo developWakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.
lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
sina zaidi ya web design na mobile hanapna siwezi kuundaUnaweza kuunda SaaS?
Una hobby gani nyingine nje ya web design?
Ha
Haya , anza kujifunza teknologia za kisasa kama Dart, React, Angular, nodejs, no sql databases, cloud services kama firebase, AWS. Etc
node js naijua maana kuna website nilitengeneza kwa kutumia express.js .. na javascript naifahamu vizuri saanaakaribu yoote hayo nilishayapitiaa nina ideas nayo sasa nitasomaje sql wakati tayari nafahamu mysql? firebase naifahamu
alafuu? kwa hyo nilichokiandika hapa ukiamini au? kama una idea njoo tufanye kazi na kama nilivosema tokea mwanzoni nafanya mimi mwenyewe bila hata senti tanoo.. sina cha ku prove kwako zaidi ya kuja na wazo lako tulifanyie kaziTuonyeshe mobile app yako uliyo develop
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tusina zaidi ya web design na mobile hanapna siwezi kuunda
08/juneHakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
15/11/19..Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
Umeanza ramli za marehemi shiekh yahya tena!Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
Fanya kazi zifuatazo08/june