Du!! Kumbe ni muiseke Nyamughe ndio kamaliza uhondo wa Hadithi yetu pendwa!! Ila Mungu kakupa kipaji aiseee!!
mimi hufanya hivi nawaambiaga marafiki zangu wa kiume ambao nahisi huwenda wakawa wananihitaji kimapenzi MY BOY ANAPENDA KUCHUKUIA VITU VIDOGO HIVYO AKIKUTA MSG YA MWANAUME INAYOASHIRIA MAPENZI ATACHUKIA (hata kama sina mpenzi kama simpendi mwanaume hufanya hivyo ili kutokumpa matumaini hasi)
sasa mrembo wako alichoshindwa ni kukupa tahadhari usi fall in love
WANAWAKE WENGI HATA WANAUME HUSHINDWA KUWAAMBIA WATU IKIWEMO MARAFIKI AMBAO WANAONESHA KUWAPENDA WANAHISI HUENDA WATAWAUMIZA
JAMBO AMBALO SI KWELI
ni bora umwambie mtu mapema ili askolee na aangalie fursa zingine
LAKINI WEWE NAWE MIAKA MI3 HUKUWAHI KUONJA ASALI(shake well before use) MPAKA UTAKE KUCHONGA MZINGA????umpeleke moshi bila kumwa,bia hata unampenda?????
UKAMTAMBULISHE KAMA RAFIKI KISA?????WAZAZI WASINGEKUELEWA LABDA KAMA MME ADAPT WESTERN CULTURE
Pole shemeji sheria za polisi na misimamo ya kisheria na kikurya pengine mungu amekuepusha ili uwe huru kulitumikia jeshi la polisi bila stress!
Kwani wakurya tuna misimamo gani?alichelewa kuwekeza ajilaumu mwenyewe,ila pole.
Mura Tarime one dadako hata ningemwambia palepale ubungo isingesaidia...!
None at all! Maongezi (both direct and indirect) yake yalionesha she was single...!!!
Arawa utakua na Gundu..haiwezekani kila siku uwe na mwisho mbaya na wanawake,Unakumbuka yule wa tanga ulinusurika Ngoma,Yule wa Arsenal akakukimbia..yule mtoto wa kiarabu Kigamboni kumbe alikua mke wa mtu..Punguza mjani Afande Mentor
pole sana looh ila nikimkumbuka yule mke wa mchimba chumvi natamani kukuona afandeKaka lutamyo finally umeona sababu... #nashukuru !
I guess hata mimi nina hiyo weakness ya kuogopa kumuumiza mtu and at the end naishia kuwaumiza maybe zaidi ya ambavyo wangeumia kama ningeepusha mapema...kwa hili lililonitokea, I could help but think "Karma is serving me my own food"
Well, sio miaka mitatu, soma tarehe vyema masai dada. Na kumtambulisha binti kama rafiki at first nadhani ni safe kujua pia wazazi wanamchukuliaje (bila r/ship bias).
Poleeeh Mentor...good story though...
Mhhhhhh... iko namunaaaa...
Ok huyo alilishwa maneno hasa kuhusu kabila lako,coz najua ndugu zangu hasa wa kule kijijini hawaamini katika ndoa ya jamii tofauti,na naamini hakua na msimamo yeye binafsi.
Pole sana afande Mentor ndio maisha hayo......
Mwadunda, my time will come...Jamaa anamajanga sana upande huo ila riziki yake itamjia tu siku moja.
Ni Law School mkuu,School of Law ni iliyokuwa Faculty of Law ya UDSM ila kastory kamenoga
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hahaha pole mkuu
pole sana looh ila nikimkumbuka yule mke wa mchimba chumvi natamani kukuona afande
Namuna gani nameless girl...tuambiane!!!!
Kwani mnaambiwaje khusu wachaga eti?
Asante mkuu Katavi...nitapoa!
Mwadunda, my time will come...
Asante mkuu Mwanamdodo, fani za wenyewe hizo...
#shukrani !
Karibu sana kituo cha Salendar Bridge utanipata...