Mimi ni Polisi: My Muiseke Nyamughe

Mimi ni Polisi: My Muiseke Nyamughe

masai dada, ningemwambia kitambo kama lini?



On the assumption kuwa Nyambughe wangu alikuwa bize na 'School of law' sikutaka kuwa na mawazo mbadala.

Ila hapo kwenye methali labda ungesema, "Si kila king'aacho chako!"

ulipohisi anguko la kimapenzi juu yake
 
Last edited by a moderator:
Pole shemeji sheria za polisi na misimamo ya kisheria na kikurya pengine mungu amekuepusha ili uwe huru kulitumikia jeshi la polisi bila stress!
NATTA WITO tutakinzania wapi wakati hao ndo kwanza uafande uko damuni mwao..?

Hizi ajali zipo sanaaa! Unamuona mtu kwa mara ya kwanza, unaanza kufikiri tayari na yeye ameanguka kwako! Unaanza kuweka 'imaginations' za maisha ya furaha, vicheko, kumbe mwenzio yupo kimwili nusu nusu tu, kiroho yupo mbaliiii!

Afu mi mtu akinamba 'sorry, kuna kitu nataka kukueleza' huwa simpi kabisa nafasi, nampotezea!

Asante MESTOD, nitaanza kulifanyia kazi hilo <bold>

:mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph: nina rafiki kama wewe Mentor, hamalizii story!! aghh!!!
sijui ndo kipaji chenyewe? au ndo wewe??

Ahaha Nambukwa, sikumbuki kuwa na rafiki mwenye jina kama lako..lol!

Shemeji upo

KOMA! Mi si shemeji yako tena...

Mentor ndio maisha hayo.....

I agree bro, I agree!

Ila tell me o great mind, Hii husababishwa na nini hasa? Kwanini mtu u play along kwenye situation ambayo unajua siyo..

Nini maana ya Muiseke wangu Nyamughe@Mentor

Muiseke = lady kama ambavyo Mura = man

Thus;

Muiseke wangu Nyamughe = My lady Nyamughe

Arawa utakua na Gundu..haiwezekani kila siku uwe na mwisho mbaya na wanawake,Unakumbuka yule wa tanga ulinusurika Ngoma,Yule wa Arsenal akakukimbia..yule mtoto wa kiarabu Kigamboni kumbe alikua mke wa mtu..Punguza mjani Afande Mentor

Kuna mtu aliwahi kuniambia, "Ukiacha sigara, bangi, pombe, ushirikina na wake za watu utakuwa mtu mzuri sana katika jamii" .....Najitahidi kuacha arawa!

Pole sana shemeji Mentor rudi tu kwa mwallu kwanini unataka kumuumiza?

Nkwela mbalu, :A S cry::A S cry::A S cry:
 
Last edited by a moderator:
ram Umeona Sasa? Wewe ulitaka kutulaumu SISI weee kumbe mambo yaliyomkuta Mentor mengine kabisa!


Nkwela Mentor Pamoja sn mukulu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mentor, huwezi jua Mungu kakuepusha na nini, hivyo usisononeke. Lakini jitahidi basi ukiwa vyema umalizie kisa cha mke wa waziri.

Hapo kwenye huwezi jua Mungu kakuepushia nini u sound just like her. Kwa nini isiwe shetani kanikimbizia penzi langu..

mentor malizia story ya mke wa waziri bwana acha mambo yako bt pole kwa yaliyojili.

Duh! Mkuu prospa, try and be a bit sympathetic please. In time moyo ukirudi vyema nitaimalizia.

Duh.
Bazazi in Love....

Ahahah TANMO, guess nilichojifunza...

Cc: Asprin, The Boss na watu8

ulipohisi anguko la kimapenzi juu yake

Duh! Ilikuwa siku ya kwanza mimi kuonana naye, kusema naye...ilikuwa mapema mno!

Ila jaribu kuwaza na mimi hapa masai dada, 'Umekutana na kijana na kwa dalili zote akakuonesha kuvutiwa nawe na hata kwa maongezi japo kiutani hakusita tangu siku ya kwanza kukuonesha nia yake kwako. Je, wewe kama masai dada hukupaswa tangu siku ya kwanza kumwekea mazingira (hata kama hutomwambia directly) ya kujua kwamba dhahabu hii ina mwenyewe?'
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mentor,ndege wanaofanana huruka pamoja,hakuwa ndege wako huyo,mke mwema hutoka kwa Bwana,huyo alitokana na............
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mniwie radhi kwa kuwa kimya tangu Alhamisi. Natumai sasa baada ya kusoma hapa mtaelewa yaliyonikuta mwenzenu Mentor. Na kushindwa kumalizia Mimi ni Polisi: Kisa cha Mke wa Waziri.

Cc: ram, Active, Katavi kisukari, Ennie, lutamyo, Kalolo Junior, SHIEKA, christine ibrahim, Inno laka, kashata, Stephen Shayo, Isumbwile, Veni Vidi Vici, shalet, Chujio, donbeny, masai dada, Analyse nkwela zangu Ntuzu, ng`wana ong`wa kulwa, Daniel M J, mbalu,
Bahati yako umekuwa na sababu inayoeleweka!!
Nimekusamehe afande majanga
 
Last edited by a moderator:
Afande Mentor nawe ulichemka!demu miaka yote hiyo hata kwenu hapajui!inaonekana kuna mbishi alijitokeza akayapeeleka mambo kwa speed kidogo.
 
I agree bro, I agree!

Ila tell me o great mind, Hii husababishwa na nini hasa? Kwanini mtu u play along kwenye situation ambayo unajua siyo..









/QUOTE]

wajua kaka, haya mahusiano, kila mtu anapenda kuchungulia kabla ya kuingia mazima, na wenzetu hawa ndio wanachungulia zaidi kupia je kuna fursa mbele au ndio mambo ya kupanda daladala mwanzo mweisho?
sasa waweza kukuta mnapangwa mpaka bila kujijua huku mkifanyiwa utafiti....
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia, "Ukiacha sigara, bangi, pombe, ushirikina na wake za watu utakuwa mtu mzuri sana katika jamii" .....Najitahidi kuacha arawa!
Jitahidi bwana umri unaenda...Ambia necha monoMae...chaaaa (honestly mm mwenyewe nimeshidwa kuacha Sigara kubwa tukutane tupange mikakati)
 
afandeeeeeeee... mkuu saluti kama tz kuna vipaji hivi in reality tuko juu
 
Hapo kwenye huwezi jua Mungu kakuepushia nini u sound just like her. Kwa nini isiwe shetani kanikimbizia penzi langu..



Duh! Mkuu prospa, try and be a bit sympathetic please. In time moyo ukirudi vyema nitaimalizia.



Ahahah TANMO, guess nilichojifunza...

Cc: Asprin, The Boss na watu8



Duh! Ilikuwa siku ya kwanza mimi kuonana naye, kusema naye...ilikuwa mapema mno!

Ila jaribu kuwaza na mimi hapa masai dada, 'Umekutana na kijana na kwa dalili zote akakuonesha kuvutiwa nawe na hata kwa maongezi japo kiutani hakusita tangu siku ya kwanza kukuonesha nia yake kwako. Je, wewe kama masai dada hukupaswa tangu siku ya kwanza kumwekea mazingira (hata kama hutomwambia directly) ya kujua kwamba dhahabu hii ina mwenyewe?'

mimi hufanya hivi nawaambiaga marafiki zangu wa kiume ambao nahisi huwenda wakawa wananihitaji kimapenzi MY BOY ANAPENDA KUCHUKUIA VITU VIDOGO HIVYO AKIKUTA MSG YA MWANAUME INAYOASHIRIA MAPENZI ATACHUKIA (hata kama sina mpenzi kama simpendi mwanaume hufanya hivyo ili kutokumpa matumaini hasi)

sasa mrembo wako alichoshindwa ni kukupa tahadhari usi fall in love

WANAWAKE WENGI HATA WANAUME HUSHINDWA KUWAAMBIA WATU IKIWEMO MARAFIKI AMBAO WANAONESHA KUWAPENDA WANAHISI HUENDA WATAWAUMIZA

JAMBO AMBALO SI KWELI
ni bora umwambie mtu mapema ili askolee na aangalie fursa zingine

LAKINI WEWE NAWE MIAKA MI3 HUKUWAHI KUONJA ASALI(shake well before use) MPAKA UTAKE KUCHONGA MZINGA????umpeleke moshi bila kumwa,bia hata unampenda?????

UKAMTAMBULISHE KAMA RAFIKI KISA?????WAZAZI WASINGEKUELEWA LABDA KAMA MME ADAPT WESTERN CULTURE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom