Mmmhhh..... Karoho kanataka kutoka mimi hujui tu
kwi kwi kwi.....refer my signature...
:llama::llama::llama::llama:
Makofuli yako ya aina nyingi. Mengine hayahitaji funguo.
Mkaguzi wa polisi wa 2012 hawezi kuwa na mshahara kidogo hivyo leo. Nimeipenda hii story lkn ubunifu wa kazi ya mwanaume haufanani na hali halisi. Huyo Vaileth haogopi mtandao wa polisi na kubambikiwa kesi au anataka kupindua gari? Hata hivyo demu wako anakupenda na ndo maana katoboa kuwa ni rafiki zake ndo walomshawishi (Adam na Eva?). Anyway, ni mtunzi mzuri wa riwaya. I appreciate you man!
Hahahaaaa, pole Askari mentor
Huyu mrakibu msaidizi wa polisi unadhani anahitaji pole? yaani mtu unazima radio call kisa umeona mchepuko? Ndo maana majambazi hayeishi kila siku mara ubungo...mbezi jogoo....mwai kibaki road...bado wale panya road...kumbwa maaskari wako bize na hawa kina nani sijui....:angry:
Unamuonea afande....hata yeye ana moyo wa kupenda kama wewe.....afu mtake radhi ule haukuwa mchepuko ilikuwa njia kuu...
napata shida sana kusoma maelezo marefu alafu yawe pumba kwa hasira nakuripoti kwa Mangu kwa kulidhalilisha jeshi letu na kwa taarifa yako nimesha kujua