Ulitakiwa upige chapati au U-turn kwa huyo friend aliyeweka hiyo stutus b'liv anavua kiulaini!Mimi ni Polisi: Fastjet
30[SUP]th[/SUP] June 2014…facebook status ya rafiki yake Winnie
Vaileth Shirima (20[SUP]TH[/SUP] June 2014): "Wanaume wengine sijui wapoje! Kama huna hela kaa na masikini wenzako wasio na sura na shepu! Mwanaume huna hela unakazana kutaka kumhudumia Miss Tanzania…utaweza wapi!?? Unajifanya upo romantic unanibukia ndege za wanuka shombo mwaka kabla. Kama upo romantic nipigie simu leo niambie ‘babe nimekukatia ticket ya saa moja jioni jiandae uje Dar nina hamu na wewe!'#Kantangazeeee"
Wasalaam wapendwa,
Mentor.
Ulitakiwa upige chapati au U-turn kwa huyo friend aliyeweka hiyo stutus b'liv anavua kiulaini!
Wanawake ni watu wa ajabu sana......
Ukute huyo shosti hana hata wa kumlipia kweny daladala!
Ulijitajid mdogo Wangu
haroo afande Mentor turitafutie sababu riwinnie rirare sero hata siku mbiri riache kuchezea hera za umma
oooh Mentor wewe na story zako daaa
ulichoma mahindi then ukachoma mishkaki
...........NON REFUNDABLE...........
mwallu ivi unajua afande E.E Mentor ana kamchepuko afu kako mwanza? Hili jina la winnie linanipa mashaka sana maana linashabihiana na jina la binamu yake mke wangu charminglady.
Mkaguzi wa polisi wa 2012 hawezi kuwa na mshahara kidogo hivyo leo. Nimeipenda hii story lkn ubunifu wa kazi ya mwanaume haufanani na hali halisi. Huyo Vaileth haogopi mtandao wa polisi na kubambikiwa kesi au anataka kupindua gari? Hata hivyo demu wako anakupenda na ndo maana katoboa kuwa ni rafiki zake ndo walomshawishi (Adam na Eva?). Anyway, ni mtunzi mzuri wa riwaya. I appreciate you man!
Kwani future yako na Winnie ilikuwa nini Mentor
Pole mwaya tumia marafiki zako kumshawishi pengine kesho atasafiri
mwallu ivi unajua afande E.E Mentor ana kamchepuko afu kako mwanza? Hili jina la winnie linanipa mashaka sana maana linashabihiana na jina la binamu yake mke wangu charminglady.
kifupi ni kwamba umekutana na malaya ndugu yangu chapa lapa! mwanamke ambaye ana consultants kama mia hivi tena mashankupe huyo hakufai ndugu, mtu anayejielewa hana muda huo, tena ndiyo anatakiwa awe wa kwanza kukushauri matumizi sahihi ya pesa, ili hata anapokuja kukubomua pakubwa wala usiwe na shaka!
mwallu ivi unajua afande E.E Mentor ana kamchepuko afu kako mwanza? Hili jina la winnie linanipa mashaka sana maana linashabihiana na jina la binamu yake mke wangu charminglady.