Honey upo? Wala hamna kitu za huko utokako?
Aah wifi acha hizo bhana....nimekosa mwenzio lol
Mpnz wangu mi niko pouwa Kabisa! Mbona wamchemsha wifi yako?
Kaka yangu...mie bado Niko na shock....mambo makubwa haya
Mi sijamchemsha ila nlikuwa tu napiga stori na mumewe hapa...
Story gani hizo swty? Hamkuzima taa Lkn?
Honey wangu wajua Mimi nakupenda Lkn?
Kaka dah
Basi bana