U r welcome....utasahau madongo yote ya Vailet Shirima lol
Asprin wherever u are kum thizi way wizout kupark anywhere..Aah wapi nlikufa sasa hivi nafufuka
Heee wii kumbe upogo....nlijua umesafiri..
Ndo nimerudi......nakuta una flirt na wangu mume huku ukijua u wifi yangu......akya ya parokia yangu
Daaah wii nisamehe bhana af naomba yaishie hapahapa yasifike kwa kaka yako
Hapana Wii.....endelea tu mwaya
Aah wifi acha hizo bhana....nimekosa mwenzio lol