Mimi ni mzima - Lema

Usijali kamanda, ulianza na Mungu, upo na Mungu. Waombee uzima hao vijana wa Lumumba waliokuwa wanatamani uchaguzi mdogo Arusha kama kwamba wangechukua usukani. Pole zenuni nyiye mliomwita shetwani. Sasa kapona sijui mtamwita nani
 
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.
 
Asante sana Kamanda, maccm na matawi yao mavi yanagonga kwenye bikini baada ya kusikia kishindo chako!!

Upumbavu wao wa kutunga story hauwezi kubadilisha dhamira ya watanzania kuelekea ukombozi wa kweli kupitia chadema
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa

Nyie Mipakacha ya ccm mnatafuta nini hapa? hebu kwendeni kupakachuka kule... mnablidi mipovu kanakwamba mmeguswa na kitu chenye ncha laini..!!!

Mmechukia kabisa kwa Makamanda kupona ktk ajali hiyo mlitaka wafe siyo? Mmeshindwa na ushetani wenu Mapakacha wazoefu nyie..

BACK TANGANYIKA
 
Wanajukwa usahihi ni kuwa gari ya Mh. Godbless J Lema ilipata pancha yakawaida ya magari hakuna ajali yoyote na Godbless Lema anaendelea vizuri na majukumu yake ya Kazi. Poleni kwa usumbuvu mliopata

Chadema Kwanza
 
Lema, acha uongo yaani pancha tu iwafanye mrudi Dar es Salaam? Sema ukweli tu baada ya kupiga simu mkutanoni ukaambia hamna watu ukaamua kurudi Dar es Salaam.

Acha upumbavu wewe.... Unaropoka kwa kutokujua jiografia ya nchi. Pancha ya gari siyo ya baiskeli unatembea na pampu..... Pangaboy wewe
 
Mh ajali ni nini???kama hiyo mitandao ilitoa habari kuhusu ajali basi walikuwa sahihi.
 
Kamanda Tupo pamoja niliandika kanusho kuhusu wazandiki wa chama chetu

Chadema kwanza
 
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Unaconclude wakati hukuwepo kwenye eneo la tukio. Unazijua pancha za tubeless tyres?
 
Acha upumbavu wewe.... Unaropoka kwa kutokujua jiografia ya nchi. Pancha ya gari siyo ya baiskeli unatembea na pampu..... Pangaboy wewe
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.

Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.

Kauzu kweli wewe.
 
Sasa wewe Pupumpu unataka wasitanue huyo dada yako ataishi vipi? Watu wanamlisha Dada yako wewe unapakachuka hapa, au ulitaka wamlishe wife wako?

Gari gani la mlipa kodi analotembelea Mbunge? Wabunge wamekopeshwa magari hayo ambayo wanarudisha mkopo huo kwa mujibu wa sheria wewe unapakachuka bila mpango utafikiri unachangia hata mia kwenye mkopo anaorudisha mbunge huki Serikalini..!!!

Hivi umekula maharage ya wapi?

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…