Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Utakuwa mpare weweKwanza kabisa wanawake omba omba sijawahi kabisa kuwa kwenye mahusiano nao,unajua kwanini huwa sitongozi kila mwanamke anayepita mbele yangu!,kwanza kabisa najijua mimi ni mwanaume wa aina gani na natakiwa kuwa na mahusiano na wanawake wa aina gani!
Ushawahi kusikia mtu anayekaa masaki anasema kodi ya nyumba ni kubwa?,lakini akitoka mtu anaishi mbagala kwenda kuulizia nyumba masaki

