Wewe unajua unachokizungumza.
Kadri unavyozidi kuwa na hela, ndio kadri inavyozidi kuwa rahisi kuwala wanawake bila kuhonga hata senti tano! (And vice cersa)
Watu wenye hela hawahitaji kuhonga, maana wanawake wanajipeleka wenyewe na ukiwatongoza hawakatai! Kati ya watu ambao hawahongi kirahisi, ni watu wenye hela!
Wahongaji wakubwa ni sisi makapuku ambao tunadhani bila kuhonga, atakuja mwingine anaehonga na kutunyang'anya tonge mdomoni. Tunasahau kwamba hata ukihonga, kama pisi ni kali bado atakuja mwenye hela kuliko wewe na anamchukua manzi kirahisi kabisa na huna cha kufanya!
Mimi mbinu zangu 2 ni hizi:
1. Kuna wanawake wengi sana warembo balaa ila ambao hawajajanjaruka bado. Hao nakula sana bila kuhonga kitu cha maana. Wakianza kujanjaruka tu, ndukiii...!
2. Pisi kali naziingia kwa gia ya kitajiri, nawazingua balaa kwa mikwala mingi ila sitoi hata 10 mwanzoni. Mbinu yangu ni kuhakikisha nakula mzigo haraka sana wakati bado ana wenge kabla akili hazijamkaa sawa. By the time anataka kuanza mizinga, mimi yulee...