Mimi ni mwanachama mpya, naomba mnipokee

Ungeelezea kabisa wewe umebobea katika profesheno ipi ili tukukabidhi kwenye idara yenu uwakute wenzio kabisa

Kuna chama la akina mbaga, chama la karanga na infop, chama la min, chama la binti wa zamani, leo dada na kenzy, n.k

Idara zipo nyingi mkuu, we sema tu uko upande upi.
Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…