Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kumpiga mtoto sio ndio mwisho wa dharau zake, wangapi tumesoma nao mpaka leo vichwa ngumu na walipigwa ipasavyo. Ndo maana mnaambiwa muwe na mahusiano mazuri na wazazi mambo kama hayo unamuita mzazi shule muone namna ya kumnyoosha dogo.

Huyo Mwl Frank kapata nini sasa? Shule ndo hiyo kakosa na kila mtu anamuangalia kama mualifu... Useless respect...

[HASHTAG]#niwazotu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usitoepovu[/HASHTAG]
 
Mbona unawasiwasi sana [HASHTAG]#hashtag[/HASHTAG] ya nini
 
Samahani mkuu unaandika kama bata

Ila nimegundua kama ulikuwa mkaidi shule
 
Samahani mkuu unaandika kama bata

Ila nimegundua kama ulikuwa mkaidi shule
Unfortunately bata hajawahi kuandika huo ni upumbavu ulionao siwez kukushangaaa Mungu akuepushe na Wanafunzi kama mim Ungelijuta kwann umekua mwalimu wa namna hiyo

nitaendelea kuwaheshim walimu wenye nidhamu na sio wapuuz kama wew
 
Hapo ndo nazid kupata mashaka kumbe hata elimu ya picha huna.

Bahati mbaya sio mwalimu ila hata katika kad yangu huwa sitaki ujinga ujinga

Unatuletea story za second master wako yule goi goi mm ningekupa kisago mpaka ukashtaki kanisani

Hyo avatar yako ina reflect akili zako hiv makonda alikuacha kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…