Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Kumbe Madame B ni mwalimu?!!!
Yaani nikikumbuka vituko vyako jukwaa la wakubwa na jinsi kazi yako ilivyo ya nidhamu na heshima

Mm nilikuwanachukulia kama mwanamke flani aliyeshindikana na Kokop kweli ...
Aisee kweli usiamini kila unaloliona jf
 
Kumbe Madame B ni mwalimu?!!!
Yaani nikikumbuka vituko vyako jukwaa la wakubwa na jinsi kazi yako ilivyo ya nidhamu na heshima

Mm nilikuwanachukulia kama mwanamke flani aliyeshindikana na Kokop kweli ...
Aisee kweli usiamini kila unaloliona jf
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu wala Usichanganyikiwe na maneno ya humu ukichunguza wote wanaokebehi ajira za watu ndio wale hohehahe .. Wengi wao wanalala kwa mashemeji zao hawana mbele wala nyuma ..

Ww huoni kila siku watu humu wanalialia maisha magumu Mara sukari ipo juu Mara mchele .. Tatzo wakiwa nyuma ya vitecno ndio wanajifanya wameyapatia lakn kumbe wapiga debe
 
Mkulu alichapwa na alichapa ndio maana alishangaa viboko kufutwa shuleni.

Its obvious wazazi kutetea watoto watukutu na kusema wanaonewa ila bahati nzuri huwa hawafiki mbali kabla hawajawaumbua. Kuna binti alitajwa na wanafunzi wenzie kuwa ana simu,tulipomuhoji akakataa kata kata kuwa anasingiziwa yeye hana simu, kuitwa mama yake weeeeh!! Alituchamba walimu, haikupita 5months binti akawa ni mjamzito, mama yake akaitwa kuambiwa akaanza kulia, tukamuuliza binti vipi kuhusu simu bado unakana? Akajibu tu ni kweli ninayo. Mama macho yakamtoka, tukamwambia mchukue mwanao mkaanze clinic.
 
Nimependa chukua mwanao mkaanze clinic, [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hampendagi ujinga
 
Si ukubali tu nimekushinda !! na kiingereza chako cha kukariri !!!
say whaat? we hukufaa kuwa mwalimu. ulifaa uwe unakodishwa kwenye vikodoro kusuta watu. hahahahahha. eti mwalimu. what a shame!
 
Hizi ni kelele tu za vyura hazimzuii ng'ombe kunywa maji, maana hizi dharau tunaziona hadi kwa ambao hata shule hawajakwenda, nami huwa naishia tu kuwadharau as long as sibishi hodi kwao kuomba unga.

So kazi kama kawa, na minyoosho lazima iendelee.
 
N nimekubali harakati Kua mwalimu Ni kazi Sana Na watoto wa siku hizi wanatia vidole machoni usipokua makini
 
say whaat? we hukufaa kuwa mwalimu. ulifaa uwe unakodishwa kwenye vikodoro kusuta watu. hahahahahha. eti mwalimu. what a shame!
we binti usinipotezee muda umeanza mipasho tena!! mi ni mwanaume we saiz yako mzurimie sio mimi !! kuwa nesi ndo unahisi umemaliza au umesahau ulishawahi kuni-PM
 
nilikuwa sitaniwi na mtoto, na wala sikuwa na ukaribu nao, wakisikia nipo kila mtu anashika adabu....! miaka hiyo hadi Afisa elimu wa mkoa alikuwa ananijua....!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nakwambia, kila mtu kageuka msemaji wa Serikali.
Nyooooko zao, mbona yao wameyafumbata kifuani, si wayaache wazi tuyaone!!

Yaani wajinga wajinga na wapumbavu kama hawa hapa, mie wala hawanipi presha, maadam nikifika mwisho wa mwezi naenda kutekenya mashine, waongeee mpaka wararuke midomo.
Mother fucker!!!
Wanajikuta tu akina mwafulani, kuvamia masusu kwa mambo yasowagusu, wengine ndio kwaaanza nawaona leo, ukiwauliza wa wapi, wametoka wapi...hawajulikani akhera wala mbinguni.
Wapo wapo tu kama milingoti ya simu,
Wamenyooka kama rula, na vichwa vyao kama nyanya za nyongeza.

Wanajifanya kushadadia tu, hawajui tulikoanzia, hawajui tunakoelekea, wavamia treni kwa mbele, ina huuuuu!!!!
Watupishe sie na sura zao kavu kama mtindi uliochachuka.
Mxyiuuuuuu.....!!!
Maana naona wengine walitaka kujua tabia zetu za ndani, ngoja tuwaoneshe sasa.

Kama wao mabingwa wa kusema, mbona yao hawayasemi?
Watoe kwanza boriti jichoni mwao, ndo waje kwetu.
Wapumba.vu wakubwa.

Tangu jana nyok.o nyok.o......yao wanayakalia ili waote mikia au waote sugu za makalioni?
Watukome, hatujabisha hodi kwaokuomba chumvi wala unga.

Wamekalia Ugolikipa tu,
Mwanamke piga kazi, kelele muachie kondakta.
Kujifanya vimbelembele kama fundo la msuli, ina huuuu!!!!

Nimechefukwaaaa!!!!
 
Kumbe Madame B ni mwalimu?!!!
Yaani nikikumbuka vituko vyako jukwaa la wakubwa na jinsi kazi yako ilivyo ya nidhamu na heshima

Mm nilikuwanachukulia kama mwanamke flani aliyeshindikana na Kokop kweli ...
Aisee kweli usiamini kila unaloliona jf
Sifa moja ya mwalimu ni KUENDANA NA MAZINGIRA.
Mie mpaka leo kuna watu hawajui kazi yangu, naendana na mazingira.
Kwenye umbea nipo, kwenye ushenzi nipo hata kwenye uchangu nipo.

Ula inapofika mahala watu tukashindwa kuheshimiana, acha tu waone tunakopata jeuri zote.
Hahahahaha
Ulijua natokea Kimboka au?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mwalimu umechafukwa.
Basi mama acha wasogoe tu, sie tupige kazi.
 
Lakini kuna kitu kilicho dhahiri, yule mtoto anaonekana ni sugu. Si halali Mwalimu kumtandika mtoto kiasi kile lakini haiwezekani pia mtu mwenye akili timamu apandwe na hasira kiasi cha kufanya vile bila sababu ya msingi. Ukimtazama na kumsikiliza yule mtu, kuna kitu hakipo sawa, ni mtoto asiye na heshima, huenda wazazi wake wakiulizwa wataweza kutuambia ni mtoto wa namna gani.

Kuna watoto ni wa ajabu. Nakumbuka wakati tunasoma, kuna siku mtoto mmoja aliyekuwa shule ya msingi, alitambaa chini kwa chini wakati mwalimu wa kike akiwa amekaa, anasahihisha kazi za wanafunzi darasani huku wanafunzi wale wakiwa wamepewa test, akaacha kufanya test akatambaa mpaka chini ya mwalimu yule kwaajili ya kumchungulia. Wanafunzi wengine walikaa kimya. Mwalimu mwingine wa kike aliyekuwa akipita nje akamwona kupitia dirishani. Yule Mwalimu aliyekuwa akichunguliwa, aliapa hawezi kumfundisha tena mtoto yule. Walimu wengine, wa kiume walimcharaza hasa yule mtoto, kama mbwa koko. Na kale katoto kakamgomea Baba yake kurudi tena shuleni. Kwa hiyo pia tujue kuna watoto walioshindikana.

Yule mtoto wa Mbeya Day yumkini atakuwa ni jeuri na ama ana dharau pia. Mimi nilisoma Tosamaganga chini ya headmaster Mpkgole tuliyezoea kumwita Dudu. Yeye alikuwa hana muda wa kuwasumbua wazazi waje shuleni kwa sababu watoto wao ni wabishi, wakosaji au wamegomea adhabu. Ukimkatalia adhabu mwalimu wa kawaida, ukifikishwa kwa Dudu unaweza kutandikwa ngumu itakayokupeleka ardhini. Ukisalimu amri, unalala chini halafu unatandikwa mara mbili ya zile ulizomgomea Mwalimu wa kawaida.

Ukipatikana unaongea lugha tofauti na Kiingereza adhabu ilikuwa ni 2x where x =your class. Kwa hiyo ni bakora 12 kama wewe ni Form 6, na shule kila mwaka ilikuwa ni miongoni mwa shule bora kabisa katika masomo.

Upigaji ule wa mtoto una hatari kiusalama maana ilikuwa rahisi kugongesha kichwa kwenye sakafu, na inaweza kutokea bahati mbaya mtoto akafa. Lakini siafiki kabisa mwanafunzi kumdharau Mwalimu au kutomsikiliza Mwalimu. Mwalimu aheshimiwe kutokana na wajibu wake kwa jamii. Siku za huko nyuma, baadhi ya wazazi ambao walikuwa wanaona watoto wao wamewashinda, walikuwa wanaenda shuleni kuwaeleza walimu ukosefu wa nidhamu wa watoto wao kwa nia ya kuwataka walimu wawanyooshe watoto wao waliowashinda, kwa sababu waliamini kuwa walimu wana uwezo wa kusimamia nidhamu.

Wale walimu wanafunzi walifanya kosa lakini hata wao maadam bado wanasoma ni watoto pia. Wangepewa adhabu kutokana na nafasi zao lakini siyo sahihi kuwafukuza kabisa!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mwalimu umechafukwa.
Basi mama acha wasogoe tu, sie tupige kazi.
Kazi tunapiga na minyoosho kama kalambwanda.
Kama mbwai, acha iwe mbwai tu.
Hapa ni mbwa kala mbwa a.k.a mbuzi kafia kwa muuza supu.
Kesi ya nyani wanampa ngedere?
Alaaaaaaa!!!!!
 
Sio utani mm nilijua ni changu mmoja matata sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…