Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Acheni kunitafuta, hayo yamepita. Kazi sina bado mnifunge, muwe na huruma. Mi najuta kwa yaliyonikuta-Mwl Frank
 
Hapo sasa.
Akili za wazazi na watoto zao wote sawa.
Nahisi hiyo bodi ingekuwa ushuzi mtupu.
Maana hata la kujitetea hawana.
Wakiona mmoja kalianzisha ndio wanafuata mkia, wakiulizwa walikoanzia hawajui.

Jf kweli ya wengi.
Walioelimika na wasioelimika.
 
Si kilamtu amechagua alichopenda jamaniii. Sasa lawama za nini. Kila kazi inasheria zake hakuna kazi isiyokuwa na sheria Duniani.
 
Ole wake atakaejichanganya hapo kwako Jumatatu, atakujua we ni Madame B au ni mwalimu Frank
Hahahhaahah....umenifanya nicheke kwa sauti.
Afu kuna mzazi ananifata fata sana, ngoja sasa nimpe trick za Frank bondia.
Yaani jamani shuleni kwetu kuna watoto wakorofi, mie naona tunaandaa majambazi sio raia wema.
Khaaa!!!
Kwanza shule haina uzio, kuanzia wauza mayai mpaka waokota machupa wanakatiza katikati ya shule jamani.
Afu sasa eneo shule ilipo...hahaha
Acha tu ninyamaze jamani.
Nimechefukwaaaaaa.

Yaani ni balaa.
Kuna mwanafunzi alikuja na baruti darasani, afu akaibutua katikati ya kipindi changu.
Nyie jamaniiii.
Mie ngachoka
 
Yaaaani mwalimu akinipigia mwanangu ambaye anajifanya nunda nitakuja kuwasaidia walimu tumchangie kumdunda saaaana, nyie walimu mna kazi nzito sana, tatzo watz wengi ni wanafiki saaana tunashupalia vitu vya kawaida kuliko vitu vinavyojenga maisha yetu, NASEMA HIVI DOGO AKILETA VYOKOVYOKO PIGENI TU HATA MENO MNG'OENI MAANA HAMNA NAMNA
 
Utakuja wafanyia ubaya hadi watoto wa wafila.ji, ukipatwa uje utoe ushuhuda tena hapa!
 
Tumeshapoa
 
Mabs pamoja sana mkuu
kwa watoto waliokulia katika familia za waungwana ni jambo la kawaida sana,nakumbuka mpaka miaka ya tisini,ulikuwa ukimnyooshea teacher ngumi,au ata kuashiria tuu umefunga ngumi,aisee watakuua,kichapo utakachokula,hata nyumbani hutakwenda siku hyo,maana unaweza ukapewa kibano kingine cha maana sana na mzazi,
 
Utajiju
 
Wapuuzi kiwango cha lami.
 
Hahahaaaaa!! Yaani abutue baruti kwenye kipindi!! Haki hii mitoto ndio dizaini hii hii ya jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…