Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

Status
Not open for further replies.
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira
haha haa! Huyu mama angeyajua haya asingeropoka leo bungeni.
 
Ni vigumu sana kujitenga na kwenda tofauti na mfumo ulimo ndani. CCM kwa sasa ni chama ambacho kina mfumo wake fulani katika kuongoza ambao kwa kiasi kikubwa kwa wale ambao ni wazalendo wa kweli sidhani kama wanakubaliana na mfumo huo. Kasi aliyoanza nayo mama Tibaijuka na Magufuli katika utendaji wao si ajizi kuwa kila mtanzania alifurahishwa na utendaji wao. Lakini swali la kujiuliza ni kuwa Je ile kasi waliokuwa nayo imeishia wapi? au yale waliokuwa wakiyafanya kwa sasa yanafanywa kiufasaha na hakuna marekebisho. Mfano Magufuli alikemea sana barabara zinazojengwa chini ya kiwango na tulimsikia kinagaubaga na sasa hasikiki tena "Je sasa barabara zinajengwa vizuri", Mama tibaijuka alianza kwa kubomoa makazi ambayo yamejengwa kinyume cha sheria na akaanzia Dar katika ghorofa moja na hajasikika tena "Je hakuna makazi yaliyojengwa kimakosa?".

Hiyo ni mfano michache sana, Jiulize Kama Nape nauye Kweli ni mzalendo wa nchi hii Ni kwanini aliamua kuacha Ukuu wa Wilaya ambao ndio unaleta maendeleo moja kwa moja na ndio kisheria ni msimamizi wa kazi za kimaendeleo katika wilaya husika na badala yake amerudi katika Chama?

Unaweza kujiuliza ni wangapi waliotuhumiwa kwa Ufisadi Ndani ya CCM na kwa nini mpaka leo wapo serikalini na Chama kinaendelea kuwatumia kama sio kuna kitu fulani kimejificha ndani ya chama. Enzi za mwalimu tulishuhudia Muasi wa chama alifukuzwa katika chama na kama sio kufukuzwa walizuiliwa kuongoza baadhi ya nyadhifa ambazo zinahusu maslahi ya taifa. Mfano ni pale Kiongozi mmoja alipotaka kuchukua Fomu ya uraisi Ila nyerere alimwambia kwa jinsi anavyomfahamu akichukua fomu hiyo Yeye Nyerere angerudisha Kadi ya Chama na hatimaye Mnene huyo aliachana na uamuzi wake. Je CCM inaweza ikatuthibitishia kuwa ni chama safi na hakilei ufisadi kwa kuvua gamba MB wa Igunga pekee , Na wale waliopewa siku 90 la sivyo watafukuzwa na chama "watanzania tujajiuliza je siku 90 hazijaifika au wamevua gamba kwa hiyari yao? na kama ndio sera za chama safi ziko wapi hapa? ukweli unaosemwa kila siku na chama hicho uko wapi?, umakini katika utendaji unaosemwa kila siku uko wapi?, viongozi wasikivu wanaosemwa kila siku wako wapi? maswali ni mengi na hayawezi kuisha kwa wanaotafakari kwa kina.

Nazidi kuomba mungu siku moja Mashuhuda kama Kina magufuli na Tibaijuka waongee ni nini kiliwamaliza uzalendo wa kuiendeleza nchi yetu kama walivyoanza.
 
Hajui maana ya "scandal" kwani hata kutembea nje ya ndoa yako ni "scandal" licha ya kuiba waume za wenzio!!! She is very scandolous.

Anataka muilipue hii ili aufyate.
 
BEATRICE JIBU YAFUATAYO:

1.unakumbuka ulipokwenda kuonana na Nabii Mwingira hotel Tanga Mjini na ukatoka alfajiri huku dereva anakushuhudia???

2.Ni kwa nini uliacha kwenda Efatha ???

Akiona post hii mzee Shelukindo lazima sheli ipande.
 
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira

Mkuu Mwamakula fungukaaaaa....

Weraaaaaaaa
Weraaaaaaa

CCM untold stories...
 
Ni vigumu sana kujitenga na kwenda tofauti na mfumo ulimo ndani. CCM kwa sasa ni chama ambacho kina mfumo wake fulani katika kuongoza ambao kwa kiasi kikubwa kwa wale ambao ni wazalendo wa kweli sidhani kama wanakubaliana na mfumo huo. Kasi aliyoanza nayo mama Tibaijuka na Magufuli katika utendaji wao si ajizi kuwa kila mtanzania alifurahishwa na utendaji wao. Lakini swali la kujiuliza ni kuwa Je ile kasi waliokuwa nayo imeishia wapi? au yale waliokuwa wakiyafanya kwa sasa yanafanywa kiufasaha na hakuna marekebisho. Mfano Magufuli alikemea sana barabara zinazojengwa chini ya kiwango na tulimsikia kinagaubaga na sasa hasikiki tena "Je sasa barabara zinajengwa vizuri", Mama tibaijuka alianza kwa kubomoa makazi ambayo yamejengwa kinyume cha sheria na akaanzia Dar katika ghorofa moja na hajasikika tena "Je hakuna makazi yaliyojengwa kimakosa?".

Hiyo ni mfano michache sana, Jiulize Kama Nape nauye Kweli ni mzalendo wa nchi hii Ni kwanini aliamua kuacha Ukuu wa Wilaya ambao ndio unaleta maendeleo moja kwa moja na ndio kisheria ni msimamizi wa kazi za kimaendeleo katika wilaya husika na badala yake amerudi katika Chama?

Unaweza kujiuliza ni wangapi waliotuhumiwa kwa Ufisadi Ndani ya CCM na kwa nini mpaka leo wapo serikalini na Chama kinaendelea kuwatumia kama sio kuna kitu fulani kimejificha ndani ya chama. Enzi za mwalimu tulishuhudia Muasi wa chama alifukuzwa katika chama na kama sio kufukuzwa walizuiliwa kuongoza baadhi ya nyadhifa ambazo zinahusu maslahi ya taifa. Mfano ni pale Kiongozi mmoja alipotaka kuchukua Fomu ya uraisi Ila nyerere alimwambia kwa jinsi anavyomfahamu akichukua fomu hiyo Yeye Nyerere angerudisha Kadi ya Chama na hatimaye Mnene huyo aliachana na uamuzi wake. Je CCM inaweza ikatuthibitishia kuwa ni chama safi na hakilei ufisadi kwa kuvua gamba MB wa Igunga pekee , Na wale waliopewa siku 90 la sivyo watafukuzwa na chama "watanzania tujajiuliza je siku 90 hazijaifika au wamevua gamba kwa hiyari yao? na kama ndio sera za chama safi ziko wapi hapa? ukweli unaosemwa kila siku na chama hicho uko wapi?, umakini katika utendaji unaosemwa kila siku uko wapi?, viongozi wasikivu wanaosemwa kila siku wako wapi? maswali ni mengi na hayawezi kuisha kwa wanaotafakari kwa kina.

Nazidi kuomba mungu siku moja Mashuhuda kama Kina magufuli na Tibaijuka waongee ni nini kiliwamaliza uzalendo wa kuiendeleza nchi yetu kama walivyoanza.

Naaam,
Natamani maswali haya angeyajibu kwa kina na moja baada ya jingine kutoka kwa Mwenezi wao Bwana mdogo Nape !
 
Hadi dakika hii anaendelea kutoa mchango wake kuhusu Bajeti ya mambo ya ndani akieleza kwamba {usiseme kuwa jeshi la Polisi limeoza bali ni polisi wachache tu wasio waadilifu}.

Akaongeza pia kusema: {...ni kama mtu anaposema CCM imeoza kwa kudhani kwamba CCM haina waadilifu, CCM ina waadilifu wengi na mmojawapo ni mimi, sina scandal yoyote....}

What is scandal?
 
Najua hata kama si Member lazima
aambiwe jf kimenuka juu yako


Uzuri wa hapa kuna watu wa kila aina
sasa wanaomjua wametoa ya moyoni.
 
By Mwamakula
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira
haha haa! Huyu mama angeyajua haya asingeropoka leo bungeni.


1. Jamani wapendwa, hizi deliverance za mahotelini ni za kutisha mno. Hawa wabunge kutwa wanatolewa mapepo, hivi hayaishi?


2. Pia wanakuwa ni mfano mbaya kwenye machurity ya kiroho! Kutwa wanazunguka kwa mitume na manabii! Hata kwenye makanisa Yao hawatulii kutwa kiguu na njia kutafuta unabii. Kila nabii anayeingia mjini wanae......


3. Nawaomba mtulie kwenye makanisa yenu, baraka zitakufuata hapo ulipo, someni neno jamani.


4. Hivi unajisikiaje pale kila mtumishi anapojua maisha yako??? Kila nabii anatabiri mabaraka hakuna anayetabiri toba!!!!!


5. Mwisho msitafute madaraka kutwa kwa mgongo wa dini wakati nchi inaangamia. Hebu tungangane na toba
2 Nyakati 7:14. Baraka automatically zitakufuata.


Nawasilisha
Queen Esther
 
I said, "But suppose there isn't anything to find?"
And the Boss said, "There is always something."

And he said, "Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud. There is always something."

Two miles more, and he said, "And make it stick."

-Robert Penn Warren "All The King's Men"



Beatrice Shelukindo, do not tempt the indefatigable curiosity of some of us.
 
Namsubiri mtu insider kama KIM KARDASH aje athibitishe habari hizi za Mwingira kuwa chapa hawa wabunge lol
 
Last edited by a moderator:
By Mwamakula
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira



1. Jamani wapendwa, hizi deliverance za mahotelini ni za kutisha mno. Hawa wabunge kutwa wanatolewa mapepo, hivi hayaishi?


2. Pia wanakuwa ni mfano mbaya kwenye machurity ya kiroho! Kutwa wanazunguka kwa mitume na manabii! Hata kwenye makanisa Yao hawatulii kutwa kiguu na njia kutafuta unabii. Kila nabii anayeingia mjini wanae......


3. Nawaomba mtulie kwenye makanisa yenu, baraka zitakufuata hapo ulipo, someni neno jamani.


4. Hivi unajisikiaje pale kila mtumishi anapojua maisha yako??? Kila nabii anatabiri mabaraka hakuna anayetabiri toba!!!!!


5. Mwisho msitafute madaraka kutwa kwa mgongo wa dini wakati nchi inaangamia. Hebu tungangane na toba
2 Nyakati 7:14. Baraka automatically zitakufuata.


Nawasilisha
Queen Esther


UKWELI KUHUSU WABUNGE KINA DADA NA KUPENDA MANABII KUTAFITA UPAKO NA UTAWALA
Kwa kutumia udhaifu huu Mwingira kakung'uta wake za watu wengi ,akina dada wakiwemo wabunge orodha inatisha lakini ukitaka kufahamu zaidi fuatilia ndoa na mdogo wa mke wa Gray Mgonja .Ndoa hiyo ilipaswa kufungwa Efatha lakini ikatishwa baada ya bi Arusi kufanyiwa deliverence kama hiyo. Familia ya Mgonja iliwahikufungua mashitaka kule USA lakini watawala wakazuia kipindi kile yupo Hazina!!!


Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
Nimesoma Kitabu cha wito wa Nabii Josephati Mwingira kaitka ukurasa wa 3 kichwa cha habari "Safari ya kwenda Mbinguni" katika eneo hilo Nabii Mwingira anasema kwamba :

Malaika mmoja akaniongoza ,tukaenda mpaka kwenye lango. Tuka ingia katika lile lango na kupelekwa moja kwa moja alikokuwako BWANA YESU. Nikaona watu wengi sana wako kule; siyo Malaika ila ni watu kabila mbali mbali –Waafrika na Wazungu. Sikuongeanao ila katika hali ya kuangalia angalia, nikawatambua Ibrahim, Mussa na Eliya. Kulikuwa na hali ya kumwelewa kila niliyemwona kwamba huyu ni furani na huyu ni Fulani. Kisha akanipeleka kwa BWANA YESU."
Ukitafakari simulizi hizi za Nabii Mwingira unaweza kujua kuwa aliyekuwa anaandika alikuwa bada na ulevi kichwani !!!
Kwa mujibu wa bible , Ibrahimu, Mussa na Eliya walitoweka muda mrefu sana kama ya Kristo kuja duniani na hata Mwingira haja zaliwa sasa ni ajabu sana kuona kuwa miaka ya 2000 Nabii Mwinira alikwenda Mbinguni na kuwatambua hao kwa kuangalia angalia badala ya kutambulishwa!!!
Mtu usiye mjua wala kumuona huwezi kumutambua bali kutambulishwa hata mtu mlevi na Nabii wa Uongo hawezi kukosea hatua hii. Sasa Mungu ametupa Ufunuo wa Kuwapima Manabii wa Uongo na kuwa kuwahoji.

Bibilia inasema tutamtambua mtu kwa matendo yake ya Mwili ili kubaini Roho ilimo ndani yake.

Kutokana na maombi ninayofanya sasa hivi , Roho wa Bwana amenifunulia mambo mazito ndani ya Wito wa Mwingira , ambayo ningependa Makanisa wayajue.

Tarehe 23/9/1978 ,Bi Mary Mtetemela na Stivin Weston Mtetemela walifunga Ndoa yao katika kanisa la katoliki Mkoa wa Kilimanjaro, Parokia ya KILEMA ambapo ndoa hiyo ilifungwa na REV Joseph Babu.
Katika ndoa hiyo Mch Christopher Mtikila alikuwa best man na Catherin Adolf alikuwa msimamisi wa Kike. Muda mfupi baada ya kufunga ndoa hiyo , Wanandoa walianza kuishi pamoja karibu na nyumba ,familia ya Mzee Adolf Einstein (mwenye asili ya Ujerumani) ambaye ni baba yake Catherini,
Catherini na Bi Mary walikuwa marafiki wakubwa kiasi cha Mary kumuchagua Catherini kuwa msimamizi wa ndoa yake.

Kipindi hicho ambacho Catherini alikuwa hajaolewa na anaishi karibu na Wanandoa hao alianza uhusiano wa Ngono na mume wa Mary na kuleta Vurugu kubwa.

Katika vurugu hizo tarehe 14/11/2003 Mary alikatwa mapanga katika hali ya kupambana ambapo mtuhumiwa namba moja alikuwa Catherini na taarifa hizi ziliripotiwa polisi Mwanza.

Baada ya hapo , Stivin Weston Mtetemela na Caherini Adolf waliamua kuhamia DSM na baadaye kujijenga Kibaha.
Bw stivi Weston Mtetemela anatajwa kuwa Mkandarasi na mjenzi wa Viwanja vya ndege, ambapo alijenda viwanja vya ndege kikiwemo ,kile cha Dodoma, msoma,Zanzibar na Songosongo.

Mr Mtetemela alikuwa na kampuni inayoitwa MILO –Construction iliyosajiriwa tarehe 30/6/1979 na mwaka 2005 ilipata tenda ya kujenga kanisa la Efatha (Kwa mjibu wa Kibao cha ujenzi kilichowekwa Efatha), linalo ongozwa na anayejiita Nabii na Mtume Mwingira na kukamilisha ujenzi wa kanisa hilo kabla hajaanza kuugua ugonjwa wa figo na kukimbizwa India mwaka 2008.
Katika kipindi chote cha ujenzi huo Catherini na Mtetemela walikuwa wanaishi kama mke na mume na Mwingira aliwabariki.
Wakati Mtetemela akiwa hoi kitandani , Catherini alifanya mambo mawili mazito kwa kushauliwa na Nabii Mwingira.
Moja walibadili jina na umiliki wa Kampuni ya MILO- Construction na kuita ACASTE-Construction (Afred Catherin Aldof….) ambayo mpaka sasa anasema ni mali yake.

Mwaka huohuo , wakati Mtetemela alikuwa hajitambui, catherini alifanya njama za kufunga ndoa kupitia kanisa la Efetha ambapo Mwingira alitoa maelekezo kwa catherin kwenda kutengua ndoa ya Mary na Mtetemela ambapo walikenda Baraza la Maaskofu kurasin na kuwakuta wahusika huku Mtetemela akiwa ameachwa kwenye gari akiwa hajitambui.
Catherin aliwakilisha vyeti vya ndoa kati ya Mary na Mtetemela ili kuvunja ndoa hiyo ili apate kufunga yeye na Mtetemela.

Maaskofu wa Katoliki waligoma kutii maagizo hayo kwa maelezo kuwa ni kinyume na bibilia lakini pia wakahoji kuwa ni kwa nini maamuzi hayo yanafanywa huku mwanaume akiwa hajitambui??
Baada ya hapo, Catherin alirejea Kwa Mwingira na kumupa taarifa hizo zilizo mhuzunisha. Nabii Mwingira aliamua kufungisha ndoa hiyo kinyume na bibilia na utaratibu wa serikali pia.
Tarehe 18/7/2009 Stivin Weston Mtetemela alifariki dunia na mazishi yake yalifanyika tarehe 21/7/2009 eneo la Kibaha.
Aliyeongoza mazishi hayo ni Nabii Josephati Mwingira na katika mazishi hayo alimuzia Mary Mtetemela kuweka udongo Kwenye kaburi na kumutambua Catherin kama mjane halali wa marehemu, mwenye masikio na asikie maneno haya!!!
Hivi ninavyo zungumuza Catherini amekalia mali zote za Marehemu na mwanzono mwa mwaka huu alimutukana Mch mtikila matusi ya nguoni wakati anamsihii aachie mali za marehemu. Catherini anajieleza kuwa yeye ndiye mke halali wa Mtetemela na kwamba alianza kufanya naye mapenzi wakati yeye yupo form-two. Wakati wa mabishano hayo , Catherin alimtukana Mtikila centra polis DSM Mbele ya SSP PILI ambapo hadi naandika makala haya ametupwa rumande na yupo SEGEREA kwa kudharau taratibu za dhamana katika kesi kutukana matusi ya nguoni namba 648/2012 mahakama Ilala. Huyu ndiyo muumini wa Mwingira!!!
Baada ya kupata ushuhuda huu nimeanza kupata picha kuwa YESU yu Mawinguni wapendwa tujiandae kwa unyakuo kwa kujitakasa na kuombeana!!!
Ni jambo la kushangaza kuwa Mwingira ambaye aliwahi kuwa Mkatoliki anadharau ndoa za Kikatoliki na hapa ipo hatari ya wanawake wanao abudu efatha na waliofunga ndoa kanisa Katoliki wakaona ndoa zao hazina maana mbele ya Mwingira na wakaanza kufikiria vinginevyo.
Ukweli ni kwamba ‘KILA AMWACHAYE MKEWE NA KUOA MWINGINE AZINI NA AMUOYE YEYE ALIYE ALIYEACHWA NA MUMEWE AZINI ' . Tunaweza kupata maneno haya katika vifungu vifuatavyo ili kuimarisha ndoa zetu na kuwa tayari kwa safari ya kwenda Mbinguni na siyo kwa Mwingira kwani hana Mbingu!!!
(1Wakor 7:10-11, Mathayo 5:32, Mathayo 19;9, Luka 16:18)
Kumbuka kushika sana neno kipindi hiki cha dalili za Sodoma na Gomora.
Nimeamua kuishia hapa na sasa naenda kwenye maombi ili kupata mengi zaidi, Mungu awabariki sana.



















 
BEATRICE JIBU YAFUATAYO:

1.unakumbuka ulipokwenda kuonana na Nabii Mwingira hotel Tanga Mjini na ukatoka alfajiri huku dereva anakushuhudia???

2.Ni kwa nini uliacha kwenda Efatha ???
Mkuu Mwamakula, naomba kumjibia hili la kwa kwa Nabii na Mtume Mwingira,
Kiukweli walokole wengi wana ibada za mikesha ambapo hufanya ibada isiku kucha wakikesha kwa kusali. kuomba na kutukuza, hivyo kama ni kweli aliingia kwa Nabii na Mtume Mwingira na kutoka asubuhi, then itakuwa ulikuwa ni mkesha wa mibaraka tuu!.

Kwa wasio mjua, Nabii na Mtume Mwingira kiukweli kabisa ni bingwa wa kutoa maombi ya mibaraka na watu wanafanikiwa sana!.

Nakumbuka kisa cha yule mke wa mwanasheria, alipata mibaraka sana hadi kumshawishi mumewe watoe shukrani ya sehemu ya kiwanja chao pale Mlalakuwa na Mtume amejenga hekalu lake pale!.
Hizo zote ni baraka!. hivyo kama kweli alikesha!, then naye atakuwa alibarikiwa sana tuu!. Sasa subirieni matokeo ya mibaraka hiyo 2015!.
Pasco
 
simpendi huyu mama, yeye akisimaga kuongea anaongeaga pumba tu, badala awawakilishe wananchi waliomchagua yeye anakalia upambana kuijibia serikali hoja za wapinzani! sijui nae ni waziri kivuri!

Huyu ni viti maalum kama unamaanisha Ana AbdalaMsekwa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi wale patriots wa mtwara wakati wanachoma nyumba za wakoloni weusi nyumba ya anna abdallah iliungua pia au ilipona? Huyu Shelukindo akae kimya watu wataleta za uvunguni mpaka agome kuchangia bungeni kwa aibu, kuwa mwachama wa CCM ni scandal tosha, muadirifu yeyote hawezi kukuamini.
 
BEATRICE JIBU YAFUATAYO:

1.unakumbuka ulipokwenda kuonana na Nabii Mwingira hotel Tanga Mjini na ukatoka alfajiri huku dereva anakushuhudia???

2.Ni kwa nini uliacha kwenda Efatha ???
Dah! Lakini jamani kwani huko hotelini hapakuwa na vyumba vingine hata ikisiww kwamba alichangia chumba na mtume na nabii? Ila ushauri wangu kwa watu ni kwamba wajihadhari sana na mitume na manabii wa leo. Wengi wao hawana tofauti na YUda Iskariote, yule mwizi na msaliti wa Bwana. Wamejaa roho ya uzinzi na uasherati. What sort of deliverances are they making? Hakuna deliverance kwa aliyeokoka. Ukishaokoka unaukulia wokovu. Full stop. Kwa kuendekeza zinaa ndo wanatakasa watu kwa kuwabaka.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu Mwamakula, naomba kumjibia hili la kwa kwa Nabii na Mtume Mwingira,
Kiukweli walokole wengi wana ibada za mikesha ambapo hufanya ibada isiku kucha wakikesha kwa kusali. kuomba na kutukuza, hivyo kama ni kweli aliingia kwa Nabii na Mtume Mwingira na kutoka asubuhi, then itakuwa ulikuwa ni mkesha wa mibaraka tuu!
Najua ni umeandika sarcastical lakini walokole hatukeshi hotelini tena na wake za watu.
Huo unaitwa Uzinzi, period.

Kama Mama Shelukindo kweli alikesha na Mwingira basi ni uzinzi tu wa kawaida ambao unapaswa kufanywa na mpagani yeyote yule wa Ohio au Kino Makaburini, period!
 
BEATRICE JIBU YAFUATAYO:

1.unakumbuka ulipokwenda kuonana na Nabii Mwingira hotel Tanga Mjini na ukatoka alfajiri huku dereva anakushuhudia???

2.Ni kwa nini uliacha kwenda Efatha ???

Ha! Ha! Ha! Ha! Mimi simo bhana !
 
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira

Duh ! Eee bhana eee ! Hebu funguka zaidi mkuu , mbona unatuacha njia panda ?
 
Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira
Mkuu unaongelea Mwingira mtumishi wa Mungu.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom