Pascal paul
Member
- May 24, 2016
- 33
- 8
- Thread starter
- #21
Mbona nashindwa kujoin group kakaKaka karibu sana kwenye group ketu la wajasiriamali. Humo wapo watu wenye uhitaji wa wataalam kama wwe.Tupo kwenye mtandao wa telegram na mpaka sasa tupo zaidi ya watu 480. Download telegram kisha ingia link hii Join group chat on Telegram