Habari wakuu!
Nimekuwa nikifanya kazi na wazungu zinazohusisha matumizi ya excel 95% kwa zaidi ya miaka minne sasa. Kwa hiyo nipo vizuri sana kwenye spreadsheet.
Kazi zangu zilikuwa ni kutengeneza formula (Logical formula kama IF function and the like) ambazo zimekuwa zikirahisisha calculation na kuokoa mda na mali.
Nimehusishwa katika kazi kubwa za uthamini wa majengo katika Manispaa za hapa Dsm na kurahisisha kazi ambazo zingeigharimu manispaa zaidi ya 15m.
Huwezi amini nimekuwa nikifanya kazi hizo kwa muda mchache sana usiozidi siku moja kwa kutumia excel na kuweka taarifa katika weredi mkubwa.
Atakayekuwa interested na kazi zangu ani pm. Nitampa ushirikiano mkubwa!