Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Ni pm dada nina sifa zote ulizozitaja
 
weka picha
 
Vipi akiwa mla 0713?
 
Hujataja specification zako...

1. K yako ina uzoefu wa muda gani kwenye game?
2. Umewahi kupigwa mtungo?
3.shape yako ni ya aina gani?
4. Kimo chako ni kiasi gani?
5.nini kimekusukuma kutafuta wanaume mtandaoni hao wa mtaani, shule, kanisani umewamaliza?

Ukijibu haya maswali niko tayari kuacha pombe nikuokoe na upweke ulionao.
 
Mwaka huu kweliiii, naamn kwa jinsi nilivyomvumilivu vigezo vitashuka tu hadi Certificate,
Ikifika ngazi yangu nishtueni nichangamkie fursa kudadeki
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Yani msafi, mtanashati hafu awe singo kukusubiri wewe!!...??

Ngoja nikupe mbinu
Tangazo lako inabidi lisomekr hivi
Mchafu
Mlevi
Mvuta sigara
Anatakiwa awe mume wa maisha

Ili akijitokeza uanze juhudi za kumtengeneza vile upendavyo
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Weka picha yako kama una nia ya dhati,watu wakutathmini
 
38f14ed641b459a5fe46e9eb345c9037.jpg
Exper wanakuja na ID mpya....
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Ungeongeza sifa kuwa ALIYE NA NGUVU ZA KIUME.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom