Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Ukitaka kuifahamu familia ya Nyerere,waulize watu wa Butiama. Jana usiku nilikuwa naongea na watoto hapa Butiama nawauliza kwanini siku nyingi hawajafika nyumbani kwangu kunisalimu.
Kwanini.
In fact siku nyingi zimepita sijaona watoto wowote wamekuja kunisalimu.
Majibu yao yalikuwa quite illuminating. Wakaniambia wamesikia kwamba
1. Mimi in mental case ambaye naweza kuwanyonga nikawaua.
2. Kwamba imetokea in the past kwamba Mimi nilikuwa violent, nilipiga watu, ikabidi nifungiwe katika chumba na kurushiwa chakula humo ndani.
3. Kwamba watoto wa Mwalimu Nyerere, wachache wana akili timamu,lakini wengi wao ni mental.