Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,030
- 3,324
Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne
Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.
Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.
Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.
UVCCM tujuzeni hapa