Mimi ni Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Meru, sisi tulifanya kazi ya kumwingiza Nassari

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,321
5b1ddd0fdec324c376a7d775e918fb2b.jpg

Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne

Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.

Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.

Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.

UVCCM tujuzeni hapa
 
Kusema uongo iko kwenye amri kuu za mungu,kwa hiyo kusema uongo ni kazi kubwa kuliko kuiba
 
Albadir ishaanza kuwatafuna....

Huyo naye anasema lwake, kuwa yeye ndiye Katibu mwenezi wa CCM waliofanya kazi kubwa ya kumwingiza huyo ndugu Nasari huko CCM!

Na bosi wake hapo Jana "ameropoka" kuwa sukari ameikuta shilingi 5,000!

Sijui ni lini katika karne hii aliikuta sukari inauzwa kwa bei hiyo??
 
Yani hawa watu wana mambo ya hovyo sijawahi ona..., na ndo maana jana Gambo pamoja na hao mapandikizi wametukanwa hadharani na mfalme ha ha haaaaaa....
Yani waliambiwa wapumbavu kabisa.. Yeuuuuwi mbafu ssangu mie
 
Ungeweka na kipande cha kideo
Sio kuandika maneno yako..
Rudi ukamsikilize tena uelewe.
 
Yani hawa watu wana mambo ya hovyo sijawahi ona..., na ndo maana jana Gambo pamoja na hao mapandikizi wametukanwa hadharani na mfalme ha ha haaaaaa....
Yani waliambiwa wapumbavu kabisa.. Yeuuuuwi mbafu ssangu mie
Nimeona hiyo "wako wapi watu wako"

Tuna safari ndefu kwa hali hiyo mkuu!
 
Albadili/maombi tayari vimejibu hukokuweweseka,sio jambo dogo.mpaka magufuli nayeye anashangaza,nishani za kijeshi ,ccm wakaribishwa (diwani)!!!! Mchungaji anamwambia magufuli auwe watu !!!!, hawa ccm(diwani) na mchungaji shughuli ya kijeshi inawahusu vipi ! Tutakosa kupata picha kwamba jeshi,mchungaji,diwani,ni mpango maalumu wapinzani wauwawe ila ukiwa ccm ukosalama na mtu wa kiimani kahusishwa abariki hili,na jeshi kazi iliyoko mbele yao ni kumwaga risasi alimradi isiguse mtu wa ccm ??? Sasa kiama cha wapinzani kimetangazwa nchini.tusubiri watu kuokotwa sana kila sehemu ya nchi,alimradi ukihisiwa ni mpinzani tu !.mtu huyu wa kiimani kakosa hekima ya Mungu pakubwa mno !!! Ila hako kachombo ka Nasari kasaidie kurusha hayo yote yaliyotokea Jana dunia ijue nchi ilikokabidhiwa jana, kwa ajili ya mauwaji na baraka zote, za kiongozi wa kiimani zilivyotolewa.Mungu,waliowako unawajua na wanaoagiza tuuwawe kupitia kazi yako unawaju,ninaloleta mbele yako Mungu,nasihi sana,ujidhihirishe katika ile kauli ya alive mwambia magufuli auwe watu.na magufuli mwenyewe,aliyekusanya watu hao makundi matatu,ili kudhihirisha nia na kiu yake,ya kumwaga damu ktk uso wa nchi.tenda kwa mkono wako hodari,na wenyewe nguvu ya haki,kwa wadhulimiwa wa haki.sina chembe ya shaka ktk utendani wako,nakuinua nakukusubiria kwa matumaini makubwa,Amen.
 
Video tayari sasa kaangalie

Kwani nilisema sijaiona!? Nikipata muda nitaipitia
Nimependa ulivyoongezea habari ila umepoteza muda wako kwasababu haukuelewa.. sikutaka kukuambia hilo bila wewe kuweka kideo cja youtube.. usingekalia maneno ungeyameza hata kufikiria kwanini alitamka hayo unayotaka kupindisha.. ila kumbuka yeye ni CCM tangu siku alikimbia chama kichovu na sio juzi.. na pia amepewa cheo alipohamia na ndio alikitaja.. sasa rudia wewe kumsikiliza.
 
5b1ddd0fdec324c376a7d775e918fb2b.jpg

Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne

Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.

Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.

Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.

UVCCM tujuzeni hapa

Mimi sikumuelewa alafu niliona kama polepole alitaka kumstua ila ikawa too late, pole pole akabaki kukenua meno tu
 
Kwani nilisema sijaiona!? Nikipata muda nitaipitia
Nimependa ulivyoongezea habari ila umepoteza muda wako kwasababu haukuelewa.. sikutaka kukuambia hilo bila wewe kuweka kideo cja youtube.. usingekalia maneno ungeyameza hata kufikiria kwanini alitamka hayo unayotaka kupindisha.. ila kumbuka yeye ni CCM tangu siku alikimbia chama kichovu na sio juzi.. na pia amepewa cheo alipohamia na ndio alikitaja.. sasa rudia wewe kumsikiliza.
Ulielewa vizuri elezea tafadhali kadamnasi inakutegemea
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom