Mimi ni Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Meru, sisi tulifanya kazi ya kumwingiza Nassari

Maana yake ni kua alisaliti ccm
Watu kama hawa walifanya hivyo Iringa mjini,Msigwa alishazama ccm wenyewe wakaamuru kura za mwakalebela apewe msigwa
 
msikilize kwa makinikia.... alikuwa anawauliza wapambe wake huku anageuka nyuma kuwaangalia.. wako wapi wale tuliowapanga? wapambe wakawa wanajiumauma hawana la kujibu NDIO AKATOKA NA JIBU ''nyie wapumbavu kabisa''
Nimemsikia aisee
 
Nasubiri ushahidi aliodai nasari anao kuhusu kupewa rushwa hao madiwani najua mkuu hatakuwa na huruma kama walirudi ccm kwa rushwa hawana bahati maana Mh.JPM hana urafiki na rushwa ndani ya chama chake na serekali yake na namwamini sana subirini wateule watoa rushwa watakavyo nyooshwa kwa pasi ya mato.
 
Huyu mtu anatafuta kula jamani, hana lingine. Ili ufanikiwe, wakati mwingine jipendekeze. So huyo mwenezi ni guts hana lolote. Msameheni bure
 
Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.
mh Magufuli timua Hilo limamuluki ndani ya CCM.
 
Mtu Kama huyu sijui umuweke kwenye kundi gani,CCM hayupo CHADEMA nako hayupo ila kwakuwa anainanga CHADEMA atahesabiwa Kama mwanaccm Safi.
 
5b1ddd0fdec324c376a7d775e918fb2b.jpg

Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne

Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.

Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.

Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.

UVCCM tujuzeni hapa

Ahaaaaa ahaaaa kweli njia ya mwongo ni fupi kama njia ya kuelekea chooni
 
Nasubiri ushahidi aliodai nasari anao kuhusu kupewa rushwa hao madiwani najua mkuu hatakuwa na huruma kama walirudi ccm kwa rushwa hawana bahati maana Mh.JPM hana urafiki na rushwa ndani ya chama chake na serekali yake na namwamini sana subirini wateule watoa rushwa watakavyo nyooshwa kwa pasi ya mato.
Unawezaje kutenganisha rushwa iliyotolewa na chama ama serikali na kiongozi wa chama chenyewe?Michezo mingine wala si ya kufikiri mara mbili unapata jibu.
 
5b1ddd0fdec324c376a7d775e918fb2b.jpg

Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne

Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.

Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.

Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.

UVCCM tujuzeni hapa

Maigizo ya CCM.
 
Back
Top Bottom