Mimi ni Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Meru, sisi tulifanya kazi ya kumwingiza Nassari

5b1ddd0fdec324c376a7d775e918fb2b.jpg

Angalia ni dk ya ngapi hapo kwenye picha hapo juu then uangalie kwenye hii video hapa uyo mzee akizungumza. Video ni ndefu mno ina masaa manne

Huyu mtu ktk mkutano wa Magufuli kule Arusha jana 23 September anayeitwa Elrehema Ndelekwa Ayo,.

Alisema yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Meru na i mmoja ya waliofanya kazi ya kumpitisha Nassari. Na akasema anarudi Chama cha mapinduzi maanaanachofanya JPM ndicho mioyo yao ilitaka.

Sasa nashangaa, anasema yeye ni katibu mwenezi wa ccm alafu wakati huo huo anasema anarudi ccm, sasa nashindwa kuelewa hapa.

UVCCM tujuzeni hapa

Huyo alivurugwa mbele ya Amiri Jeshi na Majeshi yake,
 
Albadir ishaanza kuwatafuna....

Huyo naye anasema lwake, kuwa yeye ndiye Katibu mwenezi wa CCM waliofanya kazi kubwa ya kumwingiza huyo ndugu Nasari huko CCM!

Na bosi wake hapo Jana "ameropoka" kuwa sukari ameikuta shilingi 5,000!

Sijui ni lini katika karne hii aliikuta sukari inauzwa kwa bei hiyo??
Hawa waliosoma kisomo wanamfanyia jamaa kitu mbaya maana amepoteza akili kabisa
 
Albadir ishaanza kuwatafuna....

Huyo naye anasema lwake, kuwa yeye ndiye Katibu mwenezi wa CCM waliofanya kazi kubwa ya kumwingiza huyo ndugu Nasari huko CCM!

Na bosi wake hapo Jana "ameropoka" kuwa sukari ameikuta shilingi 5,000!

Sijui ni lini katika karne hii aliikuta sukari inauzwa kwa bei hiyo??
Zambi humrazmisha mtu muovu kusema uongo kwa kuzani anasema ukweli,hayo ndo matokeo ya laana bado siku zaja mtaskia ni lini sukari irifika 3000 ka c yy aloleta hiyo bei mpaka huko kwenye 5000 MUNGU skikuchukia mengi utaropoka kwakuwa unaelekea kuwa zuzu kwa matendo yako mabaya.
 
Kwani nilisema sijaiona!? Nikipata muda nitaipitia
Nimependa ulivyoongezea habari ila umepoteza muda wako kwasababu haukuelewa.. sikutaka kukuambia hilo bila wewe kuweka kideo cja youtube.. usingekalia maneno ungeyameza hata kufikiria kwanini alitamka hayo unayotaka kupindisha.. ila kumbuka yeye ni CCM tangu siku alikimbia chama kichovu na sio juzi.. na pia amepewa cheo alipohamia na ndio alikitaja.. sasa rudia wewe kumsikiliza.
Kwamba mtu ahamie ccm toka chadema na apewe wadhifa wa ukatibu mwenezi, hiyo ni ndoto. Unajaribu kupindisha kile kilichopo ili kuzuga tuu. Pale Polepole alishindwa kumsaidia namna ya kuzungumza kile walipanga. Uongo iko kwenye amri kumi na ni jambo baya sana kusema uongo. Huyo kaikumbuka amri hiyo akiwa pale
 
Mwacheni mwenzenu na cheo chake.
 
Kwani nilisema sijaiona!? Nikipata muda nitaipitia
Nimependa ulivyoongezea habari ila umepoteza muda wako kwasababu haukuelewa.. sikutaka kukuambia hilo bila wewe kuweka kideo cja youtube.. usingekalia maneno ungeyameza hata kufikiria kwanini alitamka hayo unayotaka kupindisha.. ila kumbuka yeye ni CCM tangu siku alikimbia chama kichovu na sio juzi.. na pia amepewa cheo alipohamia na ndio alikitaja.. sasa rudia wewe kumsikiliza.
Sasa kama yeye teyari ni katibu mwenezi, nini kilimpeleka pale kama siyo kiki?

Kwaiyo hata mwanachama aliyehama cdm miaka iliyopita anaweza kuja kujitangaza leo anahamia Lumumba?

It doesn't make sense at all
 
Hapa alitukana wale watu Waliohongwa kuja kujitangaza wanahamia ccm
msikilize kwa makinikia.... alikuwa anawauliza wapambe wake huku anageuka nyuma kuwaangalia.. wako wapi wale tuliowapanga? wapambe wakawa wanajiumauma hawana la kujibu NDIO AKATOKA NA JIBU ''nyie wapumbavu kabisa''
 
Mimi sikumuelewa alafu niliona kama polepole alitaka kumstua ila ikawa too late, pole pole akabaki kukenua meno tu
Yaani Pole Pole naye alikuwepo kwenye hiyo shughuli ...............!!?

Sasa naona chama kimeshika UTAMU tena kama enzi zile za zidumu fikra za Mwenyekiti. Sorry, I meant HATAMU!!
 
Back
Top Bottom