Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Kiongozi umependa kazi yangu au hujapenda?
Nimeandika kwa kiswahili kilichonyooka kwamba sina mashaka na kazi yako ya upambaji ila kujiita Interior Designer ndo kuna uwalakini kidogo!
Kiongozi umependa kazi yangu au hujapenda?
Nimeandika kwa kiswahili kilichonyooka kwamba sina mashaka na kazi yako ya upambaji ila kujiita Interior Designer ndo kuna uwalakini kidogo!
sikuizi fundi masonry site huwa anaitwa "Engineer". watu hawaheshimu taaluma za watu.
Hizo poles wengi wanauza kwa mita. Sio lazima uje kwangu kupima sema unauza mita moja tzs ngapi mimi nitakwambia nahitaji pieces ngapi za mita fulani.Nafanya vipimo alafu ndio naweza kukuambia bei Mkuu
Mita moja sh 20000Hizo poles wengi wanauza kwa mita. Sio lazima uje kwangu kupima sema unauza mita moja tzs ngapi mimi nitakwambia nahitaji pieces ngapi za mita fulani.
Sofa kama hiyo Tsh ngapi
Hata kama hujasoma ukijua hata kufunga wiring we ni fundi umeme, kwahyo jamaa kama anafanya kazi za interior design basi na yeye ni designer vilevile, kosa ni kama angetaja kiwango cha elimu ambacho hana.Hiyo Tittle uliyojipa ni kubwa sana wenzio wanaisotea miaka mitano,kwa usahihi ulipaswa kusema wewe ni mpambaji!
Nadhani ndilo nililotaka huyu bwana mkubwa aweke sawa unless aje hapa aseme amesoma wapi hiyo fani wenzie wanayoisoma Chuo kikuu cha ARDHI na kwingineko ambao kwa heshima ya taaluma ndio wanastahili kuitwa ma Interior Designer!
We jamaa potelea mbali, tatizo umekariri, i doubt hata elimu yako kama imekusaidia chochote.
Anafanya Interior designing unataka ajiite nani sasa? Ati mpambaji, we jamaa umechanganyikiwa?
Hehehe, watanzania wengine msijaribu kuchanganya mambo, mtu kua vizuri kwenye profession flani si lazima aende darasani, tena profession yenyewe kama hii ya designing ni uzoefu tu. Wangapi wamesomea interior designing hawana kazi wamekaa na hawana experience yoyote. Jamaa anafanya the same job unataka tumuite jina tofauti kwa kua tu hajataja chuo alichosomea. Umeambiwa ni udaktari au uanasheria huu?
tatizo mnatufanyia bei kama za kununua Boeing..
sio hvyo mkuu ni kiasi cha kawaida tuKaribu sanaNimependa kazi yako nzuri sana nitakutafuta mkuu mambo yakikaa sawa
Ni kazi ya mikono yangu hiyo dadaDuuuuh hizo curtains ni noma!
Kwanza nafika site kupima, alafu ndio nakufanyia hesabu, kama unakaa nje ya dar es salaam nakuelekeza jinsi ya kupima ndio tunafanya hesabuNipe bei ya Curtain Rail.
Asantemkulukunde crop basi picha yenye mtoto wa labda mteja wapo umuondoe.