Mimi ni Genius wa Kugegeda Wanawake

Mimi ni Genius wa Kugegeda Wanawake

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,365
Reaction score
8,631
Wakuu, nimegundua kuwa nina kipaji cha hali ya juu cha kufanya mapenzi na wanawake na kuwaridhisha.

Hivi hii haiwezi ingia katika vitabu vya rekodi za dunia kuwa Kuna mwanaume anaitwa Bei Elekezi aliishi karne ya 20 mpaka ya 21 ambaye alikuwa genius wa kuwapa raha warembo?

Najua kuna watu watakuja hapa na kujifanya wao wana akili sana, ujumbe ni kuwa nimewahi kulala na wanawake wengi sana ambao waume zao wanajifanya wako busy sana na ujenzi wa taifa, habari tamu ni kuwa wadada hao wananipenda mpaka kesho.
 
Utoto raha sana
 
Screenshot_20220722-191453.png
 
Balehe inapagawisha kumbe!!!!
 
Moja Kati ya wosia mama yake Mfalme Suleman , alimwachia ni huu

Mithali 31 : 2 - 3 " Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa?
Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?
.Usimalize nguvu zako kwa wanawake,
usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme. "
 
Back
Top Bottom