Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
98
Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo.

Kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa namba 0688066177. Ahsanteni.
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za bolt, indrive na nyinginezo.

Kwa mawasiliani zaidi napatikana kwa namba 0688066177, ahsanteni.
 
Je ikipatikana bajaj vp unaweza fanya?
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za bolt, indrive na nyinginezo.

Kwa mawasiliani zaidi napatikana kwa namba 0688066177, ahsanteni.
Upo mkoa gani?
 
Shida madereva mkiwa mnatafuta gari aaaaaah mnakuwa na utu Sana, shida ukishapewa gari ukichaa sijui unatokaga wapi sijui. Mnaanza kumuona Tajiri fala we ndio mjanja
 
Wapo wasiojielewa, sio wote
 
Habari zenu!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Dar es Salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom