Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,894
- 31,681
- Thread starter
- #21
sina matatizo ya kiakili nipo mentally fitUna mental problem.....nenda kamwone dr haraka san san
sina matatizo ya kiakili nipo mentally fitUna mental problem.....nenda kamwone dr haraka san san
Hizo ndo huwa tunaita hallucinations mkuu......better ukamwone dr akithibitisha ur mentally fit ndipo uendelee na fikra zakosina matatizo ya kiakili nipo mentally fit
Sasa hivi una umri gani?Nina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .
Kila binadamu huishi na imani hiyo uliyo nayo, hakuna anayeamini kuwa iko siku atakufa, tunajipa uspesho fulani hivi. Lakini vifo vinatokea tu, so inawezekana nawe leo ndo last day yako.Nina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .
Apana
Death is a state not a processNina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .
no,nahisi mwezi mpevu huu
NDOTO za mchana alafu ukiwa umepuliza bangi na mirungi hazita muacha mtu salama.Nina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .