Gervas Makalo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 202
- 229
Kuna ndoto, maono ,unabii na utabiri kati ya hayo tutumie lipi una ndoto una maono au unajitbiria sasa Haya yote huongozwa na nguvu mbili ya kwanza ni nguvu ya ki Mungu (roho mtakatifu) au nguvu za shetani yaani mizimu na ulozi kwa wewe unayepost thread kama hii jipeleleze usijeongozwa na shetani na kutoa makufuru uhai wako unauweka rehani.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app