Endelea kukataa tu. Kwani uchumba ni mpaka akufunue chupi? Huyo anakutaka tuu amalize hamu bila kulipa baasi. Nani alikuambia sex ni kufanya na kila mtu?
naungana na mwana JF mwenzangu aliyepost leo asubuhi tutakoma kwa posts za kitoto mpaka hapo shule zitakapofunguliwa JANUARY. WATOTO NENDENI TUITION, ACHENI MCHEZO HII DUNIA INAWAKA MOTO!