Mimi ndio Mmiliki wa hiki kitabu "Utani wa SERIKALI na Wananchi"

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Hiki kitabu ni Mali yangu na Mimi ndio mmiliki na Mwandishi. JINA la kati MASHAKA ni JINA langu la kuzaliwa. Naniliweka JINA hilo kwa kuchanganya JINA la Ubatizo(Deogratius) na la kuzaliwa(MASHAKA).

Chuo nilichosoma hakuna Kisandu zaidi ya Mimi. Na hata kwenye jarida nimeandika "BEdSN- SEKUCo"

Mimi ninatoa shukrani kwa SERIKALI hii kuyaiishi niliyoyafanyia utafiti

Asanteni, nimeambatanisha kitabu chenyewe.
Deogratius Nalimi Kisandu.
IMG_20170104_091116.jpg
 
Ulichoandika ni sahihi
Ila sijaelewa lengo la hii thread ni lipi maana unaonekana kama kuna mtu ulitaka ajue hilo baada ya mabishano yenu au tetesi flani kuhusiana na umiliki wa hicho kitabu

Kuna upotoshaji unafanyika na baadhi ya watu kwa maslahi yao ili SERIKALI iwathamini na miladi yao ipite kiurahisi.
 
Unajua mkuu wewe una assume kwamba wewe ni superstar na kila mtu anakujua. What is so special with you that you want our attention? Yaonekana upo nchi ya kufikirika. Karibu Tanzania na onyesha vipaji yako na avoid cheap popularity.
 
Unajua mkuu wewe una assume kwamba wewe ni superstar na kila mtu anakujua. What is so special with you that you want our attention? Yaonekana upo nchi ya kufikirika. Karibu Tanzania na onyesha vipaji yako na avoid cheap popularity.

Acha ushamba. Mimi ni mshamba tu na ndio maana nipo nipo tu.
 
Eeh Mungu muokoe huyu kiumbe wako,sasa kama kuna upotoshaji unafanyika si uandike huko upotoshaji unapofanyika! .Na kama ni jf si uunganishe uzi na huo unaofanya upotoshaji,!?
 
Back
Top Bottom