Mimi ndio Mmiliki wa hiki kitabu "Utani wa SERIKALI na Wananchi"

Hiki kitabu ni Mali yangu na Mimi ndio mmiliki na Mwandishi. JINA la kati MASHAKA ni JINA langu la kuzaliwa. Naniliweka JINA hilo kwa kuchanganya JINA la Ubatizo(Deogratius) na la kuzaliwa(MASHAKA).

Chuo nilichosoma hakuna Kisandu zaidi ya Mimi. Na hata kwenye jarida nimeandika "BEdSN- SEKUCo"

Mimi ninatoa shukrani kwa SERIKALI hii kuyaiishi niliyoyafanyia utafiti

Asanteni, nimeambatanisha kitabu chenyewe.
Deogratius Nalimi Kisandu.
View attachment 454104
Ulichofanya umetoa JIBU kwa MTU asiyekuwa na taarifa za awali
Hivyo tunashindwa kuelewa sababu wasomaji wapya hatuna taarifa za awali. Fanya matini yako iwe na UOLEZI.
 
Naona unatafuta cheo Kwa nguvu, hakuna mtu mwenye utani na serikali.
ila serikali hii ndo katili Kwa wananchi, hicho Kitabu watanunua mazuzu wenzako.
 
Back
Top Bottom