Mimi ndio Mmiliki wa hiki kitabu "Utani wa SERIKALI na Wananchi"

nahc huyu jamaa kama vile alitumia jina la mtu shuleni au vyeti vyake vimehakikiwa na kushtukiwa
 
Mmiliki au mwandishi!? Ina maana hata nikikinunua bado wewe utakuwa mmliki!?
the guy is mentally disturbed?
Ulichoandika ni sahihi
Ila sijaelewa lengo la hii thread ni lipi maana unaonekana kama kuna mtu ulitaka ajue hilo baada ya mabishano yenu au tetesi flani kuhusiana na umiliki wa hicho kitabu
angecopy na kupaste tuone!
Huyu jamaa kama ana ndugu wa karibu humu namshauri wachukue hatua kumpeleka kwa psychologist hayupo sawa kichwan
umeongea point!
Unajua mkuu wewe una assume kwamba wewe ni superstar na kila mtu anakujua. What is so special with you that you want our attention? Yaonekana upo nchi ya kufikirika. Karibu Tanzania na onyesha vipaji yako na avoid cheap popularity.
huyu jamaa wangempokonya gadgets zote anazotumia,kumuepushia dhahama!
 
Kuna watu wameshaanza kuku-ignore yaani wakiona thread yenye jina la kisandu hata hawafungui.

Hauko sawa kwa kweli ndugu yangu, japo wewe unaona uko usahihi.
 
Ila mimi mtu akiniambia ww sio chizi kiukwel nitabishana nae kutwa nzima.

SIFA KUBWA YA UANDISHI WAKO NI KUTOELEWEKA.
 
Yaaani we jamaa ni wa ajabu ajabu huwa sijuelewi

Sijui unataka nini humu na sredi zako uchwara
 
Back
Top Bottom